Hatimaye nimefikisha mwaka mmoja without Sex

Hatimaye nimefikisha mwaka mmoja without Sex

tuna ignore redflag kizembe kwa upofu wa mapenzi
Hivi fikiria unamfuata mwanamke unamwambia nataka nikuoe halafu anakuambia mimi nina mtu wangu nampenda sana tafuta mwingine...halafu kupeleleza unakuta ni kweli kabisa halafu unaamua kutumia pesa kumpata hii ni kitu hatari sana kwasiku zako za mbele asilimia kubwa utalia
 
Back
Top Bottom