Hatimaye nimefanikisha

Huko Iringa, Mbeya, Songwe, Njombe, Sumbawanga na Songea kazi zao nyingi bila kuangalia jinsia wanategemea sana ushirikina na utapeli. Nawaomba mnaotafutia maisha hiyo mikoa kuweni makini sana na vidawa vya kuweka mdomoni. Ushirikina ni mwingi sana mikoa hiyo ili kufanikisha utapeli wao, mimi nimetapeliwa huko nakufahamu vizuri sana, umakini unahitajika sana bila kuangalia urafiki ulionao kwa mhusika
 
Bro kwa ushaur ninaokupatia kwanza ningependa kujua umri wako ila kama bado ni mdogo haina haja ya kupambana nae kwakuwa unamfahamu ni nani aliyekufanyia iko kidendo kwanza kabisa ujue hiko kitu kipo kiroho zaid kutokana na matatizo uliyokumbana nayo tangu hapo mwanzo kwa habari ya lesen kikamatwa na polisi mpka ajali cha msingi samehe tu alaf Mungu ata play part yake kwakuwa hakuna cha mwenye haki kikapotea may be kama na wewe ulidhulumu SAMEHEEE SAMEHEEE NA MUNGU ATA PLAY PART YAKE
 
wewe ni mjinga

Hasira ya nini ndugu yangu, ungedanganya watoto wenzako huko mtaani, mtu mwenye uwezo wa ufanya biashara na kuwa na kuwa na savings ya 45m lazima awe na Biashara nzuri na inayoendelea, sasa inaonekana wewe hiyo 45m yote ndo ilikuwa maisha yako, sasa kwa nini usiwe mwongo we mwongo?
 
umeongea point muhimu
 
umenipa moyo bro nashukuru sana
 
Hasira ya nini ndugu yangu, ungedanganya watoto wenzako huko mtaani, mtu mwenye uwezo wa ufanya biashara na kuwa na kuwa na savings ya 45m lazima awe na Biashara nzuri na inayoendelea, sasa inaonekana wewe hiyo 45m yote ndo ilikuwa maisha yako, sasa kwa nini usiwe mwongo we mwongo?
umeandika kama msomi
 
Nmewahi kudhulumiwa gari na jamaa yangu tena classmates wang nilimuamin Sana nilivopata majanga nkadhan ndo atansaidia kumbe kaenda kunitia ndimu na gari langu kabeba kisa blue card ilikua bado ina jina lake.Wallah sintokuja kumsahau Pole Sana metalkelfin nkihadithia ya kwangu ya kwako yana afadhali ila pole Sana bro
 
Usiseme hivyo bro,Kumbuka Mungu ana makusudi yake,mshukuru Mungu Kwa yote na pia umwombe akuyengenezee rizki nyingine,hao wabaya wote Mungu atawahukumu hapa hapa duniani na kesho wakifikwa na mauti pia watakuwa na kesi Kwa Muumba wao.nakushauri endelea kupambana na acha visasi,sisi wengine pia tulipitiaga mazito lkn tukamwachia Mungu na maisha yakasonga mbele.....Pole sana mkuu.
Kuna mambo mengine tunamuhusisha Mungu mpaka anatushangaa.
Hivi dunia ya leo, bank kibao unatembea na cash 45ml mnalipana 10ml kienyeji tu kama majirani wanavyopeana chumvi halafu ooh Mungu. Huu udwanzi.
Hata kununua shamba siku hizi kama inazidi million kwa nini msiandikiane na muuzaji ndo mje wote bank unamlipa kila mtu njia yake kuepusha kubeba pesa??
Tuwe tunajiongeza
 
Back
Top Bottom