Hatimaye nimefanikisha

Hatimaye nimefanikisha

Mkuu hayo maneno mengi hupaswi kuyaweka wazi namna hii kwa sababu huu ni uthibitisho tosha na kama huyo mtu akiwa msanii anaweza akajitengenezea tukio lolote alafu akakuangushia jumba bovu. Ushauri wangu unaitwa Sulubu Kimyakimya pasipo ushahidi alafu kwenye mazishi tunatimba kimyakimya kuuaga mwili
Nikimuua hatoumia kama mimi nataka ateseke na simuogopi
 
Usiseme hivyo bro,Kumbuka Mungu ana makusudi yake,mshukuru Mungu Kwa yote na pia umwombe akuyengenezee rizki nyingine,hao wabaya wote Mungu atawahukumu hapa hapa duniani na kesho wakifikwa na mauti pia watakuwa na kesi Kwa Muumba wao.nakushauri endelea kupambana na acha visasi,sisi wengine pia tulipitiaga mazito lkn tukamwachia Mungu na maisha yakasonga mbele.....Pole sana mkuu.
 
hii habari inanipa ukakasi kidogo
wakati unatoka Arusha kwenda Iringa ulikuwa kwenye gari binafsi (je ni la kwako au ulipewa lift?).
Kama ni la kwako uliliacha wapi baada ya kununua jipya?
Naomba nianzie hapo kwanza
Nilipewa lift
 
umri wako mdogo ndo maana huna leseni?? ina maana chini ya 18?? bado ulikua unaishi na mwanamke.. akakutenda na bado unamtaka? ukanunua gari bila kuandikishiana any docs? unaendesha gari hovyo hovyo tuuu... mmmhhh
Hahaaa confused!
 
Nilikua kwenye gari ya mtu wa mbeyanaye. Alienda arusha kwa mda kusalimia hivyo alinishushia iringa yeye akaenda mbeya.ajali sikupata nnavyoenda arusha nlikuwa naenda ifunda mbele kidogo.kununua drip pipe
pole sana ila ni vema kwenye biashara yoyote kama hiyo unakuwa na mtu wa karibu ambaye angekuwa upande wako kwenye maswala hayo kuna suala la kuandikishana na kukabidhiana mkataba na nyaraka zote husika ina maana mkuu wewe ulienda mwenyewe bila kumshirikisha ndg au rafiki yeyote wa karibu(kwa ulinzi na ushahidi wa makabidhiano)?
 
Back
Top Bottom