Hatimaye ndugu yetu Pascal Mayala amehitimu UDSM

Hatimaye ndugu yetu Pascal Mayala amehitimu UDSM

Sijambo shikamoo.

Matola hujawahi kulijua hili sukuma katika watindiga humu ndani na anaongoza kudhalilisha wanawake ni huyu mjamaa ila ananifurahisha tu kuona miaka yote humu ndani namuumiza kichwa.

Sasa ngabu kwa akili yako utanifanya nini? nakucheka ujue kuona nakutoa kamasi.

Nitakufanya nini? I’ll *** you up.

Kama huogopi panga miadi....and lets see who’s really bout that life.
 
Sijambo shikamoo.

Matola hujawahi kulijua hili sukuma katika watindiga humu ndani na anaongoza kudhalilisha wanawake ni huyu mjamaa ila ananifurahisha tu kuona miaka yote humu ndani namuumiza kichwa.

Sasa ngabu kwa akili yako utanifanya nini? nakucheka ujue kuona nakutoa kamasi.
Marahaba
 
Ngabu unachotaka wewe ni kutukanana kiukweli naishia hapa hujanipata miaka 6 nyuma hutonipata.

Utaendelea kuniona hapa hapa ili uumie zaidi na uppumbavu wako uonekane.

Mimi wasukuma nawaheshimu sana unaona hata naandika kwa upole hapa tofauti na nyuma, nakuona kama shemeji yangu nikikutukana nimewatukana shemeji zangu.

Ila kunipiga huwezi, kwa matusi hunipati hapa umejificha nyuma ya keyboard unajifurahisha endelea.

Bwa hahahaaaa

*** you up maana yake siyo kukutoomba.

Maana yake ni kukupiga mangumi.

Teh teh....I’ll still *** you up.
 
Ngabu unachotaka wewe ni kutukanana kiukweli naishia hapa hujanipata miaka 6 nyuma hutonipata.

Utaendelea kuniona hapa hapa ili uumie zaidi na uppumbavu wako uonekane.

Mimi wasukuma nawaheshimu sana unaona hata naandika kwa upole hapa tofauti na nyuma, nakuona kama shemeji yangu nikikutukana nimewatukana shemeji zangu.

Ila kunipiga huwezi, kwa matusi hunipati hapa umejificha nyuma ya keyboard unajifurahisha endelea.

Naam, nataka unitukane ana kwa ana kama una ubavu!

Umesema nije PM unipe anwani ya mahala unapoishi.

Nimekuja PM. Umeogopa kunipa.

Mtaani tutakutana tu na adabu tutashikishana.

HIYO NI AHADI.
 
Pascal Mayala huyu aliyekuwa darasa moja na Ridhiwan Kikwete? Enzi hizo mwalimu wao alikuwa Prof. Ibrahim Juma sasa Jaji mkuu.. Ilishjndikana vipi kuokolewa na kugraduate kama alivyofanyiwa RIZ? All in all hongera Pascal Mayalla
Pasco na Ridhione hawajasoma darasa moja...Riz alitangulia darasa moja mbele
...Riz aligraduate 2006...
 
Mtoto wa kiume kupigana mikwara na girl ni ushamba wa hali ya juu.
Mwanamke anabembelezwa au anakaushiwa,sio mikwara mikwara...Shubaaamit
Mkuu tunatofautiana mbinu za kutongoza.. Hapo waachie wenyewe kesho huyo wakike anaweza kuanzisha mada na kusema "Ilove u more ......"Wanapoelekea tumeshapajua tunabaki kucheka Hihihihi
 
Back
Top Bottom