Umenikumbusha chuo kuna mkaka tangu naanza chuo hadi namaliza katika kipindi cha miaka mitatu yeye kila mwaka anarudia..ukimuona kama tahaira. ..anajichekesha ovyoovyo..anaweza kuwakuta mnasoma anawaimbia mabata madogomadogo
Ila yote Tisa alikua anakuja kuchukuliwa na ndinga la maana na kufunguliwa mlango kiunyenyekevu mno
Wengine walikua wanasema anajifanyisha..wengine waliokua wanamjua wanasema amesoma sana south na ana Elimu kubwa cha kushangaza pale chuo kila mwaka mrudiaji
Hadi namaliza chuo sikumuelewa yule mkaka vizuri
Na ndio wakwetu aliambiwa vivyohivyo...ila nilikua namkubali kwenye kununulia watu chakula kipande cha canteenYaani ndivo walivo hao, kuna mmoja chuo walimu walimchoka eti alijichelewesha chumba cha mtihani tunakaribia kumaliza ndo anaingia mkuu wa idara akakasirika sana akamchukua hadi utawala akampa mtihani kwa nguvu aufanye kwa hasira akamuambia mwaka huu hadi umalize.
Sisi ambao hatujawahi kwenda shule kabisa tunacomment wap
Wewe una viwanda vingapi?.angewekeza mda huo katika ujasiriamali pengine leo hii angekuwa na viwanda kadhaa vya usindikaji na angetoa ajira kwa makumi ya vijana.
shida yetu watz tunaamini sana katika kusoma ili siku moja uje kuwa promoted kazini au uje upate teuzi fulani za kisiasa.
ndio maana PHD nyingi za watz ni useless.
Ila bado kuna vinafasi vya wasio soma ujueKule napo hapafai tena wasomi washakuwa wengi sana mkuu![]()
![]()



Bitch you’re days are numbered.....
Real talk 🤛🤛🤛🤛
Kuna sehemu nimequote angalia notifications zako ninasubiri kwa hamu unijibuNa ndio wakwetu aliambiwa vivyohivyo...ila nilikua namkubali kwenye kununulia watu chakula kipande cha canteen
Duh basi nimeamua kuunga mkono jitihada zenu na nitaendaga zangu elimu ya watu wazima ili mlipo nami niwemoIla bado kuna vinafasi vya wasio soma ujue
Hiyo namba ni kwa wakongwe tu.. T ilikuwa kwa Watanzania..Udsm hakuna registration number ka hiyo
Kuna watu vilaza tena huyo wa kwako mbona alikuwa genius kabisaIla kuna wengine vilaza kweli mdada naanza chuo yuko mwaka wa 3 hapo amerudia mara moja na kupostpone mwaka mmoja nakaa naye rum moja hostel nimeanza mpaka namkuta mwaka wa 3 tupo course moja nikamburutaburuta kumchanganya mpaka akamaliza.
Piga mahesabu gamba kalisotea miaka mingapi?
Kuna sehemu nimequote angalia notifications zako ninasubiri kwa hamu unijibu
Shule mwisho inao sema elimu haina mwisho!Shule haina mwisho
Kuna watu vilaza tena huyo wa kwako mbona alikuwa genius kabisa