amatolo
JF-Expert Member
- Jul 24, 2017
- 690
- 713
Sijui nikutusi. Nyoooooooooooooooooooooooooooooo!Duh! Kilaza!
Sijui nikutusi. Nyoooooooooooooooooooooooooooooo!Duh! Kilaza!
Sasa nimeipinga elimu?Hahahah imenilazimu kurudi kucheck comment yako huenda nimekosea kukujibu....ni wewe umeandika huu utumbo
"
Nakuunga mkono 100%
That is what enlightment means!I'm very pathetic to live in this time where most of us(Tanzanians) believe on Education to have better sustainable life.Bookish oriented"
100% bado uelewa wako mdogo sana.
Ni mfanano wa majina tu Mkuu. Pascal Mayalla Ni mhitimu wa siku nyingi wa Sahada ya kwanzaHatimaye ndugu yetu Pascal Mayala baada ya kukomaa kwa muda mrefu na Elimu ya Juu afanikiwa kumaliza shahada ya awali ya Sheria ya Chuo Kikuu Dar es Salaam.
HONGERA SANA MKUU View attachment 937263
... isipokuwa kwa walionasa mimba mashuleni.Shule haina mwisho
Hivi huyo DAB ndio nani?Pascal Mayalla hongera sana kaka. Kumbe uteuzi wako ulikua unasubiri kwanza uongeze cheti ili isije kuzuka skandali kama ya DAB.
Utukumbuke wadogo zako pindi utakapokula shavu.
Kama kuna watu waliopo serious humu kwenye huu uzi labda ni 5% tu mkuu.Bila kujali ni Pascal Mayalla huyu huyu kaka yangu wa JF au ni mwingine, hongera zake.
Ningeomba tu tujifunze kuchukua muda kutafakari jambo kabla ya kuandika, hasa inapokuja mambo binafsi. Naelewa kuna utani na mambo yasiyo na umuhimu unaweza kuandika jambo kwa kufurahisha watu.
Kwa wale anaobeza na kuona kwamba Pascal huyu wa JF kafanya hivyo kwa juhudi kubwa ili kusaka ajira au kupandishwa cheo nafikiri hawamfaham.
Lakini pia wanauelewa mdogo kuhusu maana na dhana nzima ya elimu.
Huu mzaha, kumbe naye kilaza hivyo, utanifanya niache kumfatilia kwenye maandiko yake.Hongera zake sanaaa. Ila kasotea miaka kumi na ushee?
watu wengi hawataona kwa vile hawaangalii TBC😂😂😂😂 nazani lazima atarusha TBC Pascal mayala na PPR
Wewe ni mtanzania au sio mtanzania?Hivi huyo DAB ndio nani?
Inawezekana! Mi nlisoma na jamaa.... mpk mimi nakutana nae chuoni, tayari alishadisco SUA, Mzumbe... na nikiwa nae chuo... nikambakisha 1st year wakati tunaingia 2nd year.... na siamini kama yule jamaaa ni boya kiasi hicho.... !Wakati nasoma kuna mdada nlimburutaburuta mpaka akagraduate alikuwa na miaka 4 anasotea degree yake alishakata tamaa, kuna wengine wapo chuoni wao kila mwaka wanarudia wanahairisha kwa sababu za hovyo hovyo tetesi wakawa wanasema wapo vyuoni kwa kazi maalum wakimaliza kazi yao watagraduate huenda Paskali huyu mmojawapo.