Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Paschal sio wa kitengo kile?
wa kitengo huyooooPaschal sio wa kitengo kile?
Kwamba mtu wa Tisswa kitengo huyoooo
Mayala = Njaa!Hatimaye ndugu yetu Pascal Mayala baada ya kukomaa kwa muda mrefu na Elimu ya Juu afanikiwa kumaliza shahada ya awali ya Sheria ya Chuo Kikuu Dar es Salaam.
HONGERA SANA MKUU View attachment 937263
Naamini wakati yeye anapoteza iyo 15yrs, wewe ulikuwa unafanya ujasiriamali ni vyema ukatuonesha viwanda/kiwanda chako mkuu.angewekeza mda huo katika ujasiriamali pengine leo hii angekuwa na viwanda kadhaa vya usindikaji na angetoa ajira kwa makumi ya vijana.
shida yetu watz tunaamini sana katika kusoma ili siku moja uje kuwa promoted kazini au uje upate teuzi fulani za kisiasa.
ndio maana PHD nyingi za watz ni useless.
jamaa kaanza chuo enzi izo dola moja sh mia tatu![]()
hiyo 2003 wengine tulikuwa darasa la 6Aisee tangu 2003? Amekomaa sio mchezo yaani hata UDSM ilikua haijabadilisha mfumo wa registration numbers
Hongera Pascal japo umechomoka kwa mbinde kweli kweli, jipange uende law school sasa
Labda iwe Shahada ya pili,Hatimaye ndugu yetu Pascal Mayala baada ya kukomaa kwa muda mrefu na Elimu ya Juu afanikiwa kumaliza shahada ya awali ya Sheria ya Chuo Kikuu Dar es Salaam.
HONGERA SANA MKUU View attachment 937263
Wewe una viwanda vingapi? Na umeajiri watu wangapi?angewekeza mda huo katika ujasiriamali pengine leo hii angekuwa na viwanda kadhaa vya usindikaji na angetoa ajira kwa makumi ya vijana.
shida yetu watz tunaamini sana katika kusoma ili siku moja uje kuwa promoted kazini au uje upate teuzi fulani za kisiasa.
ndio maana PHD nyingi za watz ni useless.
hamna ni kichwa tu cha UDPaschal sio wa kitengo kile?
Ukicheki ID za wengine anaomaliza nao, hiyo ni Shahada ya kwanza. Labda majina yanafanana.Labda iwe Shahada ya pili,
Shahada ya kwanza kumbukumbu zinanionesha kuwa alishahitimu miaka mingi!
Kama ni yeye, alikuwa na kazi maalum pale na sasa kaimaliza.Kubaniana tu me siwezi amini ka pascal may be alikua mzembe kiasi hiki
Mkuu soma hapo yake imeandikwa T.2003Ukicheki ID za wengine anaomaliza nao, hiyo ni Shahada ya kwanza. Labda majina yanafanana.