Hatimaye mwizi yu mbioni kukamatwa muda huu

malivawan10

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2012
Posts
541
Reaction score
310
Hatimaye mwizi wangu niko mbioni kumpata baada ya kuendelea kutumia lain yangu na ipo hewani hadi sasa baada ya kujua hilo nimejitahidi kutumia nguvu ya msichana aongee nae.

Sasa jamaa eti amemtongoza, mie ilikuwa sio nia kumkamata leo nilitaka nitumie ujanja mwingine sasa katongoza na manzi kasema ataonana naye leo.

Je, nimfanyeje kwa kuwa mie ni binadamu?
Je, sheria ifuate au msamaha?
 
hata mbaya wako nae ana mungu kama wewe,so usijiamini sana,huenda leo mungu akawa upande wake,tuache kuishi kwa kuwindana kwa mitego kama panya na wapenzi wetu,tuaminiane...
 
Bila polisi huna unachokwenda kufanya jua hilo maana hun kibali cha kumkamata mtu hata mamlaka huna.
 
Hatimaye mwizi wangu niko mbioni kumpata baada ya kuendelea kutumia lain yangu na ipo hewani hadi sasa baada ya kujua hilo nimejitahidi kutumia nguvu ya msichana aongee nae.

Sasa jamaa eti amemtongoza, mie ilikuwa sio nia kumkamata leo nilitaka nitumie ujanja mwingine sasa katongoza na manzi kasema ataonana naye leo.

Je, nimfanyeje kwa kuwa mie ni binadamu?
Je, sheria ifuate au msamaha?
Aisee uwe makini kama waweza andaa mtego wa polisi mumshike
 
Sasa wewe unataka kumkamata mtu halafu unakuja kujinadi humu, ameshajua maana na yeye yumo humu humu atakuja na njemba 5 sijui utafanyaje.
 
Back
Top Bottom