Hatimaye mwizi yu mbioni kukamatwa muda huu

Hatimaye mwizi yu mbioni kukamatwa muda huu

Mkuu naona uko mbioni kuisoma namba.

Utajisikiaje pale wakaonana nae lodge wakabanduana.
 
Hatimaye mwizi wangu niko mbioni kumpata baada ya kuendelea kutumia lain yangu na ipo hewani hadi sasa baada ya kujua hilo nimejitahidi kutumia nguvu ya msichana aongee nae.

Sasa jamaa eti amemtongoza, mie ilikuwa sio nia kumkamata leo nilitaka nitumie ujanja mwingine sasa katongoza na manzi kasema ataonana naye leo.

Je, nimfanyeje kwa kuwa mie ni binadamu?
Je, sheria ifuate au msamaha?
Dah..!
Kumbe nawe ni binadamu?!
Mi sikujua nilidhani ww ni mtu!
Ila posti yako inaonyesha kweli ww ni binadamu tena wa Dar..!
 
Washirikishe polisi, au kama sio polisi andaa masela wako , unaweza ukashaanga demu mwenyewe kaliwa na lijamaa ukalikosa...
 
Wakati unaenda nenda na mafuka yale yaliyopigwa marufuka boss, k-y
 
Back
Top Bottom