Hatimaye: Mtambo wa kupaki magari watengenezwa

Hatimaye: Mtambo wa kupaki magari watengenezwa

Mtambo huu unafanya kazi kwa style ya kupanga magari kama mtu anavyopanga vitabu kwenye makabati ya maktaba. Infact eneo linalotumika kupaki magari 20 sasa linaweza kutumika kupaki magari 500 na zaidi. Tena parking hiyo ni invinsible kwani kinachoonekana ni ule mdomo wa kupokelea magari kwani yote yanahifadhiwa underground na open space hubaki juu kwa akili ya watu wa kupumzika. Vodacom kazi ni kwako!

underground-cross-section.jpg
images
images

images
Sasa humu kwa mfano ikitokea tetemeko kapasso kangu ndo kameenda hivyo hii hapana ntapaki humuhumu pa kawaida
 
Arusha iyo parking ipo karibu na NBC bank jengo linalofata..ukiiona kwa mara ya kwanza lazima ushangae....

Bora umenisaidia mkuu. Niliwahi kwenda Ara. Katika katiza katiza yangu kitaa, nikaona hiyo parking, kwakweli nilisimama for minutes kushangaa. Yani gari zinapangwa juu kama viberiti ivi. Cha ajabu hapa Dar hamna kitu kama hicho.

CC: FRANCIS DA DON
 
Sure? Arusha sehemu gani?

Jengo la MEGA COMPLEX maeneo ya jirani na Stendi kuu ya mabasi ya mikoani. Jengo liko mtaa ule wa Pallsons hotel ukipita soko kuu km unaenda uwanja wa mpira.

Hiyo parking jamaa aliwaza mbali sn. Mwanzo kila mtu alikua anaogopa kupaki hapo. Ila pia ilikua gharama. Sku hizi naona anachaji 2000 km sikosei kwa siku.

Ajabu Dar hawana. Ubunifu (ofcoz sio wa mtambo) si hadi uwe tajiri wallah....
 
Kuna watu wanaamini kama Dar hakuna basi Tanzania nzima hakuna kitu chochote ambacho atakiona Nje ya Nchi...
 
Mambo kama haya yatatokea miaka mia ijayo iwapo tu sisi kizaz cha watanzania wa sasa tukibadilika kwa ajil ya hicho kizaz cha baadaye. Tatizo hatubadiliki tunarithishashana umbumbumbu. Na jinsi miaka inazid kwenda umaamuma wetu unakubuhu na kuintesify. Nyambaff zetu!!!
% nyingi nakubaliana na wewe.
 
Jengo la MEGA COMPLEX maeneo ya jirani na Stendi kuu ya mabasi ya mikoani. Jengo liko mtaa ule wa Pallsons hotel ukipita soko kuu km unaenda uwanja wa mpira.

Hiyo parking jamaa aliwaza mbali sn. Mwanzo kila mtu alikua anaogopa kupaki hapo. Ila pia ilikua gharama. Sku hizi naona anachaji 2000 km sikosei kwa siku.

Ajabu Dar hawana. Ubunifu (ofcoz sio wa mtambo) si hadi uwe tajiri wallah....
Sasa kwanini hawakuijenga Dar ambapo ndio demand hasa ilipo..?! huyo jamaa alikuwa na wazimu?
 
Mkuu ungetupa source kuwa umepata kwenye chanzo gani cha habari au umeweka ili mradi watu wapige blah blah ungetupa source si vibaya ndugu.
Mkuu
Nimeona jengo moja hapa Ilford, London hata mimi.
 
Kuna mtambo kama huu pale Arusha ilipo bank ya nbc
 
Nitauza na kuhamia Dar

Unadhani value za city centre Dom ni sawa na Dar per square unit?

Mkuu ulipo fanya mambo hapohapo. Kwanza Dar kunanuka sana afu mafuriko.

Halafu ndo ujue huku 'mikoani' kuna watabe. Dar kila kitu wanafanyia mazoea.
 
Back
Top Bottom