tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,896
- 19,755
Sasa kwanini hawakuijenga Dar ambapo ndio demand hasa ilipo..?! huyo jamaa alikuwa na wazimu?
mega complex amejenga jengo la ghorofa 9 chini kuna bank ya nbc n juu maofisi.....kuweka hiyo parking y umeme ilikua n muhimu mana eneo za parking ni dogo ndio mana akaweka hiyo ya umeme.....miji mingi inakua kwa kasi n wazawa wanajitahidi kuwekeza