Umeme ukikatika?
Na ndoto ya usiku ikoje?Ndoto ya mchani hii
ni ya mechanical system Kama Huyo?Kuna moja hivi iko mjini kati pale karibu na Hindu Mandal au Burhan kama sikosei ni Parking ya Mustapha Sabodo bei ni Tsh 500 kwa saa. Nayo ni Parking nzuri pia.
Kwanini uwaite wtz hivyo?Nchi ya kwanza duniani kwa wangese.
Okay sorry, ni nchi gani kumbe uliyoitaja hapo?!Hizo nywele nyeupe nikifikiri busara wapi nimetaja tz?
2070
utaanza kazi na kila mmoja asame inshallah
Umeme ukikatika?
ahahahahNdio siku utakayogundua magari ya kwenda kwenu yanapandiwa wapi na kero zake!!
Hivi kuna movement/biashara gani ya ajabu kati ya bara na zenji mpka wamwage mihela mingi namna hiyo baharini then tunaacha kufunga mitambo muhimu kama hii..??! hivi huyu Dau amerogwa?!Sisi kwanza tunatengeneza daraja la DSM to ZNZ kisha tutaugeukia huo mtambo.
Ndege kibao?labda ndege aina jiji na jorowe!!Kwanini..?! kwa pesa ya ESCROW unafunga mitambo hii jiji lote na unabaki na chenji ya kununua ndege mpya kibao!!!!!!
Hivi kuna movement/biashara gani ya ajabu kati ya bara na zenji mpka wamwage mihela mingi namna hiyo baharini then tunaacha kufunga mitambo muhimu kama hii..??! hivi huyu Dau amerogwa?!