Hatimaye: Mtambo wa kupaki magari watengenezwa

Hatimaye: Mtambo wa kupaki magari watengenezwa

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
40,530
Reaction score
46,614
Mtambo huu unafanya kazi kwa style ya kupanga magari kama mtu anavyopanga vitabu kwenye makabati ya maktaba. Infact eneo linalotumika kupaki magari 20 sasa linaweza kutumika kupaki magari 500 na zaidi. Tena parking hiyo ni invinsible kwani kinachoonekana ni ule mdomo wa kupokelea magari kwani yote yanahifadhiwa underground na open space hubaki juu kwa akili ya watu wa kupumzika. Vodacom kazi ni kwako!

underground-cross-section.jpg
images
images

images
 
Mambo kama haya yatatokea miaka mia ijayo iwapo tu sisi kizaz cha watanzania wa sasa tukibadilika kwa ajil ya hicho kizaz cha baadaye. Tatizo hatubadiliki tunarithishashana umbumbumbu. Na jinsi miaka inazid kwenda umaamuma wetu unakubuhu na kuintesify. Nyambaff zetu!!!
 
Mi nataka nije kuanzisha nchi yangu katikati ya nchi ya wadanganyika ili lije kuwa shamba darasa, ila damu itamwagika unfortunately!
 
Mi nataka nije kuanzisha nchi yangu katikati ya nchi ya wadanganyika ili lije kuwa shamba darasa, ila damu itamwagika unfortunately!

kama vp nitafute nkupe ramani ya kukamilisha io ndoto mkuu! mbona kazi ndogo io!!
 
Utakapowekwa mtambo huo, kila kukicha kutakuwa na mgao wa umeme mpaka usiku ili kupinguza foleni. Pia ili upaki umeme utakuwa unakata saa kumi na mbili unusu asb.
 
Back
Top Bottom