Hatimaye Morogoro Tumepata Mvua

chrissleon

Senior Member
Jul 22, 2015
147
89
Habari za hasubuhi wakuu! hatimaye Morogoro mjini tuna anza kuona matokeo ya dua na maombi ya viongozi wa dini, mvua imeanza kunyesha kuanzia saa 5:30 mpaka sasa hivi bado inaendelea sijajua ndugu zetu wa Mahenge na sehemu nyingine kama wamebahatika kupata hizi baraka, mda si mrefu Morogoro hatuta kuwa na kelele za njaa.
 
Bora kidogo mnaweza pona njaa ila muendeleze maombiTE="Katavi, post: 19402753, member: 18566"]Hongereni[/QUOTE]
Bora
 
Ndio uwezo wetu Wa kufikiri ulipofikia,shukuru pale unapofanikiwa sasa hata mafanikio hakuna unashukuru nini na Nani kakwambia kuwa maombi ndio yameleta mvua?mnaharibu mazingira alafu anaambiwa salini mvua itanyesha Nani kasema sisi watu weusi tunamatatizo makubwa baada ya kuwahasisha watu wasiharibu mazingira tunawaambia ombeni mvua kweli?
 
Habari za hasubuhi wakuu! hatimaye Morogoro mjini tuna anza kuona matokeo ya dua na maombi ya viongozi wa dini, mvua imeanza kunyesha kuanzia saa 5:30 mpaka sasa hivi bado inaendelea sijajua ndugu zetu wa Mahenge na sehemu nyingine kama wamebahatika kupata hizi baraka, mda si mrefu Morogoro hatuta kuwa na kelele za njaa.
Una uhakika ni maombi? Can you rule out coincidence with certainty? Jiulize : Na kwa nini Mungu anapenda kubembelezwa? Kama kuongwa vile!!!
 
Hi nayo ni mvua au manyunyu. Alafu kwani hapa manispaa kuna mashamba au. Anyway ngoja niende Bigwa nikaangalie kama kuna afadhali
 
Habari za hasubuhi wakuu! hatimaye Morogoro mjini tuna anza kuona matokeo ya dua na maombi ya viongozi wa dini, mvua imeanza kunyesha kuanzia saa 5:30 mpaka sasa hivi bado inaendelea sijajua ndugu zetu wa Mahenge na sehemu nyingine kama wamebahatika kupata hizi baraka, mda si mrefu Morogoro hatuta kuwa na kelele za njaa.
Amen RA
 
yan karasharasha aka kamepita kusafisha mabat na kupunguza vumbi moro yetu mwaka huu njaa
 
Back
Top Bottom