Hatimaye Morogoro Tumepata Mvua

Hatimaye Morogoro Tumepata Mvua

Una uhakika ni maombi? Can you rule out coincidence with certainty? Jiulize : Na kwa nini Mungu anapenda kubembelezwa? Kama kuongwa vile!!!
Mhh mkuu haya maneno mbona mazito sana kwa muumba wako..Nina mashaka na ubinadamu wako. U mfu wewe.
 
Mhh mkuu haya maneno mbona mazito sana kwa muumba wako..Nina mashaka na ubinadamu wako. U mfu wewe.
Wewe ndiye mfu, tena umeoza na fuza, unameza jambo bila kuhoji. Tunaojitambua tunahoji yanayotokea kwenye surroundings zetu kupata ukweli, tena ukweli wa science siyo revelations! Unajuaje kuwa kuna Mungu, can you prove using scientific means kuwa Mungu yupo? Wewe hujielewi. Tafuta maana ya IMANI.... dini ni imani!
 
Sasa mvua ya siku moja ndio uishinde njaa aisee akili za watu weusi kwa mvua ya siku moja unaweza kuotesha nn?
Itasaidia kukinga maji ya siku mbili tatu maana maji ya chumvi hayana radha kabisa mkuu wacha afurahi hata ikinyesha dk15
 
Back
Top Bottom