Hatimaye mkenya amewatambua wenzake aliyeshilikiana nao kumteka Dr.Ulimboka. wakiwa wamefariki

wakuu naomba niweke mkazo kwenye maana ya neno TETESI, yawezakana ikawa kweli au lah! ya2pasa tuwe na subira watanzania.
Taarifa za kiintellengincia zilifika jeshi la police kwamba watuhumiwa walikuwa wanaelekea Zanzibar kwakutumia chombo hicho cha majini. ndio maana jeshi la police wakishirikiana na mshatikiwa aliyepatikana wakaamua kwenda nae ili kama ni taarifa sahii au lah baada ya kuangalia zile maiti zilizo opolewa, na mambo yakawa hivyo
 
Yaan ww na Suleiman, bakuli na mfuniko wake. Halafu meli inaitwa MV STAGAT???
wana jf Ni tetesi tu lakini yawezekana kusemwa.
Hatimaye yule kijana anayesemekana ametokea nchi ya jirani (kenya) anayehusishwa na tukio la utekajinyala wa Dr.Ulimboka, ameweza kutambua alioshirikiana nao kwenye utekaji huo wakiwa wamepoteza maisha kwenye ajari ya meli ya MV STAGAT???- iliyotekea siku ya jumatano.
Habari zinasema kuwa watekaji hao walikuwa wanakimbilia mafichoni Zanzibar, lakini kwa bahati mbaya au nzuri hawakufanikiwa upepo mkali uliosababisha kuzama kwa meli, vijana hao hawakuweza kuokoka kwenye dhoruba hiyo. Aliowatambua ni vijana 7 nakukili kuwa ndio aliokuwa nao siku ya tukio.
My take, Hizi habari hazijathibishwa lakini kwaniijuavyo Tanzania ya leo na jinsi ya hili tukio lilivyotokea yote yanawezekana, tuwe nasubira ndugu zangu, hakuna linaloshindikana.
Nawasilisha.
 
Msameheni, inaelekea hii msg alikuwa anaandikia cho.oni akikata gogo.....
 
ametokaje mahabusu na kwenda kuangalia maiti,je alipewa taarifa kuwa watapanda meli? na kwanini wasingewakamata kabla ya kupanda meli wakati wakiwa DSM? nani aliyemweleza kuwa ktk ile meli waliokufa mojawapo ni hao jamaa zake?

Ukitaka kudanganya usimtumie Kova wala mleta uzi!!!

Toka lini mahabusu akatoka gerezani kwenda kutambua waliohusika kumteka Ulimboka!!!!
 
wana jf Ni tetesi tu lakini yawezekana kusemwa.
Hatimaye yule kijana anayesemekana ametokea nchi ya jirani (kenya) anayehusishwa na tukio la utekajinyala wa Dr.Ulimboka, ameweza kutambua alioshirikiana nao kwenye utekaji huo wakiwa wamepoteza maisha kwenye ajari ya meli ya MV STAGAT iliyotekea siku ya jumatano.
Habari zinasema kuwa watekaji hao walikuwa wanakimbilia mafichoni Zanzibar, lakini kwa bahati mbaya au nzuri hawakufanikiwa upepo mkali uliosababisha kuzama kwa meli, vijana hao hawakuweza kuokoka kwenye dhoruba hiyo. Aliowatambua ni vijana 7 nakukili kuwa ndio aliokuwa nao siku ya tukio.
My take, Hizi habari hazijathibishwa lakini kwaniijuavyo Tanzania ya leo na jinsi ya hili tukio lilivyotokea yote yanawezekana, tuwe nasubira ndugu zangu, hakuna linaloshindikana.
Nawasilisha.

Hapa watu wanajadili mambo yenye maana mkuu, hizo habari mpelekee Kova au Shigongo
 
Jamani huyu kasema "NI TETESI TU" Lakini hata kama ingekuwa ...ok ni tetesi, hakuna hata kitu kimoja ambacho kinaweza kumuingia mwanajamii yeyote akilini. Mimi simwiti huyu jamaa mpumbavu, hata kidogo kwani ameweza ku-(create awareness) mazingira ambayo yanaweza kutumika kuficha ukweli.

Ndio maana watu wengi hawataki kuusikia uongo wowote kuhusu hilo.

Kwa hawa walinzi wetu wa amani (POLISI)...I have no comment!! Acha nikae kimya, Nitachangia siku nyingine.
 
Mwanangu ulifikirije hadi ukaandika kitu ambacho hata kunguru hawezi kuamini? Baba yako nasema kuwa hao waliokufa kwenye ajali 'walioshirikiana' na mkenya yasemekana wote walikuwa ni mapolisi na maafisa usalama wa taifa. Nasikia wengi wao walikuwa na umri wa miaka 2 hadi 7. Upuuzi hujibiwa kwa upuuzi.
 
wana jf Ni tetesi tu lakini yawezekana kusemwa.
Hatimaye yule kijana anayesemekana ametokea nchi ya jirani (kenya) anayehusishwa na tukio la utekajinyala wa Dr.Ulimboka, ameweza kutambua alioshirikiana nao kwenye utekaji huo wakiwa wamepoteza maisha kwenye ajari ya meli ya MV STAGAT iliyotekea siku ya jumatano.
Habari zinasema kuwa watekaji hao walikuwa wanakimbilia mafichoni Zanzibar, lakini kwa bahati mbaya au nzuri hawakufanikiwa upepo mkali uliosababisha kuzama kwa meli, vijana hao hawakuweza kuokoka kwenye dhoruba hiyo. Aliowatambua ni vijana 7 nakukili kuwa ndio aliokuwa nao siku ya tukio.
My take, Hizi habari hazijathibishwa lakini kwaniijuavyo Tanzania ya leo na jinsi ya hili tukio lilivyotokea yote yanawezekana, tuwe nasubira ndugu zangu, hakuna linaloshindikana.
Nawasilisha.
Hivi watanzania mnadanganywa na KOVA?Kwa lipi hasa?Fanyeni maamuzi 2015,hao wanaomtuma watakiona cha moto!
 
Mkuu nishushe posta tafadhali,naona napitishwa kituo changu,bora nitembe... Loh hupimi ndugu unaburuza tuuu?
 
Namwombea radhi aliyetukanwa!! Mh. pole sana kwa ghadhabu hadi kufikia kutoa maneno makali kiasi hiki. Uwe na subira kwani wapumbavu tumo wengi na tunaomba nafasi ya ku air out upumbavu wetu.

upumbavu wako....... na walio ku like...jinga wewe:baby:
 
Tunajua wazi kuwa kila mtu ana haki ya kuongea,(katiba ya sasa)
nashawishika kusema katiba ibadilishwe ili watu kama nyie mkae kimya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom