Hatimaye mkenya amewatambua wenzake aliyeshilikiana nao kumteka Dr.Ulimboka. wakiwa wamefariki

Amewatambuaje hao watekaji wenzie, alipelekwa Znz au? Ebu naomba fahamishwa, Dr ulimboka yu wapi na anaendeleaje kiafya!!
 
Kwanza unatakiwa kuwaomba radhi watanzania hivi wewe unaona unaweza kuwadanganya kwa upuuzi kama huu hata mtoto mdogo huwezi hawezi kudanganyika na upuuzi kama huu
 
Jamani Pombe za mchana tena bila kula ni mbaya sana. Huyu mtuhumiwa(Mkenya) yupo rumande aliwezaje kutambua maiti zilizoko Zanzibar???
 
kwa nchi yetu ilivyosasa hilo linawezekana kusemwa ili kuuficha ukweli mi sishangai sana serikali ya sasa ni yaajabu sana lkn ikumbuke watanzania wa sasa sio wa enzi zile za ukoloni watumwa mia wanasimamiwa na nyampara mmoja juzi nilisoma gazeti linasema kuna njama ambayo ilipangwa kuwatoa kafara majambazi then itangazwe kuwa ndio waliomteka ulimboka hivo hata hiyo tetesi yako kaka inaweza ikawa kweli
 
Kuna thread nyingine ukifungua unajuuta kwanini umepoteza muda kuisoma......hii ni mojawapo!!
 
Hii ingekuwa nzuri kama ungeileta siku ya tarehe 1 aprili. Ama kweli debe tupu haliishi kutika!!!!!
 
yule mjinga kova hashinndwi kui chezesha hii movie kihivyo kwani hana aibu bustad yule.
 
Mkuu nadhani wewe mmoja wa hao wapumbavu maana umeshindwa kujua hata maana ya tetesi!


Tetesi gani imekaa kijinga namna hii?.....huyo mahabusu alitokaje kwenda kuwatambua maiti?......au kova intelejensia ilimwambia kuwa hao watekaji walikuwa wanasafiri na hiyo meli?.....hii tetesi ngumu kumeza asee!
 
wana jf Ni tetesi tu lakini yawezekana kusemwa.
Hatimaye yule kijana anayesemekana ametokea nchi ya jirani (kenya) anayehusishwa na tukio la utekajinyala wa Dr.Ulimboka, ameweza kutambua alioshirikiana nao kwenye utekaji huo wakiwa wamepoteza maisha kwenye ajari ya meli ya MV STAGAT iliyotekea siku ya jumatano.
Habari zinasema kuwa watekaji hao walikuwa wanakimbilia mafichoni Zanzibar, lakini kwa bahati mbaya au nzuri hawakufanikiwa upepo mkali uliosababisha kuzama kwa meli, vijana hao hawakuweza kuokoka kwenye dhoruba hiyo. Aliowatambua ni vijana 7 nakukili kuwa ndio aliokuwa nao siku ya tukio.
My take, Hizi habari hazijathibishwa lakini kwaniijuavyo Tanzania ya leo na jinsi ya hili tukio lilivyotokea yote yanawezekana, tuwe nasubira ndugu zangu, hakuna linaloshindikana.
Nawasilisha.


Kijana naona hupo kikazi zaidi.... hatudanganyiki poleni sana na bado yule afande aliyelazwa MOI atakuwa anaweweseka mpaka atakiona cha moto
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom