Raba kali JF-Expert Member Joined Aug 10, 2024 Posts 242 Reaction score 569 Wednesday at 11:17 AM #201 RRONDO said: Na kama huridhiki hata uwe na mabilioni bado utaishi kwa stress na mawazo. Kuna hawa jamaa zetu kabila maarufu tajiri. Unaweza kumkuta ni tajiri kweli kweli ila ana msongo wa mawazo,chuki,mkorofi yaani kiujumla hana amani kabisa. Click to expand... Unataka kusema nn mkuu?
RRONDO said: Na kama huridhiki hata uwe na mabilioni bado utaishi kwa stress na mawazo. Kuna hawa jamaa zetu kabila maarufu tajiri. Unaweza kumkuta ni tajiri kweli kweli ila ana msongo wa mawazo,chuki,mkorofi yaani kiujumla hana amani kabisa. Click to expand... Unataka kusema nn mkuu?
Gunner11 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2021 Posts 16,403 Reaction score 31,265 Wednesday at 1:42 PM Thread starter #202 Raba kali said: Unataka kusema nn mkuu? Click to expand... Namaanisha kama huna amani na furaha ya moyo, utajiri wa mali hauna maana kabisa
Raba kali said: Unataka kusema nn mkuu? Click to expand... Namaanisha kama huna amani na furaha ya moyo, utajiri wa mali hauna maana kabisa