I think hakutegemea haya yote!
kuna mahakimu na majaji sio wa kuwachezea kabisa!! wana misimamo mikali sana.
At least watu waone tofauti ya siasa, askari na mahakama!
Funzo ameisha lipata, nadhani sasa akisikia wito wa mahakama atakimbia kama upepo ! Dola dola dola si mchezo
watu ni wengi sana..lema anaondoka kwa pikipiki..
Kusishangilia sio jambo jema tujiulize kwanza
1. Alifanya kosa gani, kumfanya alale ndani siku mbili?
2. Was it necessary really, to waste time, money and energy on such an unnecessary drama?
3. Couldnt this issue been averted by resorting to other means according to law, where was the high court all this time it had powers to correct
the mess created by the magistrate , it has done before with prompt and speed refer dibagulas case, ilala case ( kesi ya mtu aliyevaa
kibaraghashia mahakamani na kufungwa) (Dar Es Salaam ), to release a Public prosecutor who was arrested by a migistrate ( Dodoma)?
4. At the end of the day, Who has emerged the winner?
5. Je hiki kitu haitarudia tena?
Tusitetea Mbowe kuvunja sheria kwa kisingizio cha Chenge, CDM ni chama kinachotegemea kuchukua DOLA hatutegemei kifanye kama MAGAMBA, Hapo mwenyekiti ameharibu sana jamani! Lazima cdm iwe ndo chama cha kufuata sheria tumechoka na magamba sasa cdm inataka iwe magamba part 2.Huyu anayesema Mbowe hakufuata taratibu atukumbushe Chenge alichukuliwa hatua gani wakati mahakama inatoa kibali cha yeye kukamatwa huku akiwa kwenye kampeni, tena ananyanyuliwa mkono na ****** akisema 'Chenge Safiii', na wale watu waliopewa flana na kofia wanajibu 'Safiii'.
Kama imekuuma mbowe kuachiwa saga chupa unywe! Kafie mbele na magamba yenu, waoga wakubwa nyie, mmeshndwa kuwakamata mapacha wa3 mnakamata wasio na makosa! Mbowe alkuwa na silaha gan mpaka abebwe na helkopta ya jeshi, ulinzi wote ulkuwa na haja gani?? Mnafanya mambo ya kitoto afu hamjiamini. Aibu!!Utekelezaji wa sheria huwa hautizami gharama wewe, na isitoshe Mbowe alipewa lifti tu kwani ndege ya serikali ilikuwa yaenda arusha , teh teh teh !
Afu akakuta njiti ziko za kutosha! Hahahahaha! Aende akapeleke salam kwa hao waliomtuma kuwa A'town ni noma, hawajarbiwi na hawaogopi mafisadi. Tulijiandaa vya kutosha wana bahati.
nani asingekaa?? msitume post hizi mkiwa kilwa, bado kama kufa wangekufa wananchi tu, in the name of politics, mtu kafanya uzembe wa kutoenda mahakamani, watu kama wewe wanarukaruka wakisema ni mpambanaji! you have to think twice!
Waleeeeeeeee waleeeeeee ona sasa yamenuna ka kitumbua. Mimacho imewatoka ka yanpiga chabo kwa jirani. Hapo ndipo utakapo jua kama CDM ndio chama cha Wananchi. Kwishnea zenu...!!!
Puu ziko u ngapi kwenye jina lako?
Muhurumieni kiongozi wenu amelazwa sakafuni, amenyea ndoo na amesafirishwa usiku wa manane usingizi hakulala wakati wewe unakoroma ! amekuwa ifected kisaikolojia vibaya sana , na hana heshima tena mbele ya watu wenye akili timamu
Let me tell you nani ni hatari kwa ustawi wa watanzania. Ni mtu anayekenuwa meno huku akiwaachia wezi wanaiba rasilimali na hela mwisho wake watu wanakufa kwa kukosa dawa hospitalini, wakina mama wanajifungulia sakafuni, shule zinakosa waalimu, mabomu yanalipuka lakini hakuna uwajibikaji, nchi inaingia gizani yeye anaona sawa tu, watu wanauza madawa ya kulevya yeye analalamika. huyo ndiye mtu hatari!
Serekali na liziziemu wametukosesha fursa ya kuangusha serikali, kwa nini wamemwachia mbowe kirahisi hivyo?
Wenyewe ndo majambazi namba moja, watakamata majambazi gani tena? Hawana huo uwezo, uwezo wao mkubwa na wa mwisho ni kuwatisha wapigania haki Tz.Gharama nyingi zilizotumika zingefanya shughuli nyingine. Hivi nguvu hizi si singeelekezwa kutafuta majambazi na mafisadi?
Peopleeeez!!!
Kusishangilia sio jambo jema tujiulize kwanza
1. Alifanya kosa gani, kumfanya alale ndani siku mbili?
2. Was it necessary really, to waste time, money and energy on such an unnecessary drama?
3. Couldnt this issue been averted by resorting to other means according to law, where was the high court all this time it had powers to correct
the mess created by the magistrate , it has done before with prompt and speed refer dibagulas case, ilala case ( kesi ya mtu aliyevaa
kibaraghashia mahakamani na kufungwa) (Dar Es Salaam ), to release a Public prosecutor who was arrested by a migistrate ( Dodoma)?
4. At the end of the day, Who has emerged the winner?
5. Je hiki kitu haitarudia tena?