Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,288
sijapenda conclusion ya rais wa mbeya, who will pay for lives of 9 people of republic of mbeya? ile torture waliyoipata toka kwa polisi ni nani anawajibishwa? kurudi kwenye biashara wakati neno la mpuuzi mmoja limewagharimu uhai na utulivu raia wa jamhuri ya mbeya haitoshi... nadhani kuna mtu anatakiwa apoteze madaraka plus mashtaka juu, tena ya uuaji! nani aliyeamuru matumizi ya risasi za moto kwa waandamanaji waliokuwa na chupa za maji tu? sijaridhika! h.e. head of state, hon. dr. joseph mbilinyi and his cabinet should review their decision to calm down mbeyans by just kuwarudisha kwenye eneo la biashara! o mama!