INAUMA! umeukalia mwenyewe kama inauma nyanyuka eebo! ukiongea mtoto wa kiume usibane pua, waagiza sukari wasamehewe kodi wauza bamia ndiyo wawe tegemeo la pato la taifa kwa kodi, dhahabu ilipaswa kugharimia bajeti ya maendeleo wasema wachuuza mnafu vifungu vitatu ndio wanunue vifaru kwa ulinzi wa nchi yetu! vodacom, aitel, tigo, zantel, sasatel .... mpesa, tigopesa, zpesa ..... zingekuwa chanzo sahihi cha mapato kugharimia elimu, afya n.k. unataka wachuuza mbilimbi na hoho ndo wakamuliwe! unakameruniwa wewe siyo bure. we cant relay on trivial income while potential ones roms uncollected.