Lunyungu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 8,873
- 1,906
Katika hali ya kutaka kujua kulikoni hadi Ze Comedy wakaamua kumvaa Slaa , niliamua kuwatafuta kwa udi na uvumba na hatimaye Masanja aliangukia mikononi mwangu . Nilikuwa natoka kwenye shirika moja la ndege hapa Dar naeleke Magomeni nilipo muona yuko kwenye gari la giza nene. Lakini kwa kuwa tuna mbinu za kipolisi za kuangalia watu na kutambua mambo basi niliweza kumsoma vilivyo. Ndipo nikaanza kumfukuza na kumpa isahara ya kusimama mithiri ya Polisi lakini si mwelewa so hakuelewa what I meant hadi nikaamua kumtumia polisi kumsimamisha .
Nikajitambulisha kwamba mimi ni Mzee Lunyungu wa Jambo Forum na kumuuliza kama anaijua JF . Masanja ni mtupu sana akasema hajui lolote .
Nikamuuliza namna ya maandalizi yao ya vichekesho na hata kuwavaa watu ambao huwa wanawavaa . Akajibu kwamba ni taratibu zao ndipo nikamuuliza kama anajua kwamba aliwaudhi wana mapinduzi na walala hoi wengi kwa kumsagia Slaa? Akasema hajui ila anasema they were pressurised as well to go on air . By whom he did not mention.
Lakini alisema kwamba wanapata vitisho sana toka juu na hata wawapo studio huwa wana hofu kubwa kama watakuwa salama baada ya show zao kwa kuwa wanapokea vitisho kibao kuacha kuisema Serikali .
Sasa niliona nije niwape hili na kama mnataka nama yake naamini atakuwa tayari kusema nanyi naweza kuwapa ili muongee naye msikie wenyewe .
Kwa kifupi show yao inawapa wakati mgumu na wanaambiwa wanatakiwa kuitumikia CCM na si zaidi ya hapo kama wanataka mambo yao yanyooke .