Ni professor, ni professor. Nikupe mfano kidogo kwa muhadhiri yani lecturer. Kuna assistant lecturer (muhadhiri msaidizi), muhadhiri lecturer, na kuna senior lecturer (muhadhiri mwandamizi). Ni levels tu za kuwatofautisha kudhihirisha ukongwe wao kazini ila wote ni lectures tu (wahadhiri).
Hata associate professor (junior professor tuseme), full professor (kawa professor kamili sasa), senior professor (professor mwandamizi) still wote ni maprofessor tu.
Ni sawa na kusema afisa utumishi; kuna junior, kuna senior hata zisipotamkwa ila wote ni afisa utumishi tu. Hata associate professor, ni professor.