Hatimaye Martin Chegere awa Profesa wa Uchumi

Oh kumbe, kinachofanya wengine waitwe Dr na wengine prof ni nini?
Wanaitwa Dr. kwasababu wana PhD. Sio kila mwenye PhD ni professor na siyo kila professor ana PhD (lakini wengi wao wana PhD tayari). Professorship ni ngazi ya ualimu wa chuo kikuu.
 
Hapa kwetu huwi professor kama hujapitia PhD mkuu, huwi. Mpaka upitie PhD, labda huko uzunguni.
 
Andiko limesema amekuwa professor; huwezi kuwa full p professor bila kupitia level ya associate professor. By the way still wote ni ma professor.
Mkuu - Amekuwa Associate Professor - Na sio Professor (Full). Kuna tofauti...
 
Mkuu - Amekuwa Associate Professor - Na sio Professor (Full). Kuna tofauti...

Oh kumbe, kinachofanya wengine waitwe Dr na wengine prof ni nini?

Oh kumbe, kinachofanya wengine waitwe Dr na wengine prof ni nini?
Huwezi kuwa Professor kama hujapitia level ya kuitwa Dkt.

Ipo hivi (Tutorial assistant> Assistant Lecturer> Lecturer> Senior Lecturer> Associate professor> full professor; ukiendelea hapo ndio unakuwa senior professor.

Ili huwe lecturer unahitaji PhD; miaka ya uzoefu wako kwenye uhadhiri, pamoja na machapisho yako baada ya PhD ndio yanachangia wewe kuwa promoted to become a professor. Huko kwa wenzetu professor ni yule yeyote anayefundisha chuo.
 
Mbona mimi nimeona Dr. au macho yangu hayaoni vizuri
Senior lecturer Promoted to a rank of
Associate Professor. Nasisitiza amepewa cheo cha Associate Professor kama alivyo andikwa.
 
Wanaitwa Dr. kwasababu wana PhD. Sio kila mwenye PhD ni professor na siyo kila professor ana PhD (lakini wengi wao wana PhD tayari). Professorship ni ngazi ya ualimu wa chuo kikuu.
Najua kwamba sio kila mwenye PhD ni professor ila kwamba sio kila professor ana PhD hiyo ni elimu mpya kwangu. Ili huyu mwenye PhD au asiye na PhD awe professor inatakiwa atimize vigezo gani?
 
Huwezi kuwa Professor kama hujapitia level ya kuitwa Dkt.

Ipo hivi (Tutorial assistant> Assistant Lecturer> Lecturer> Senior Lecturer> Associate professor> full professor; ukiendelea hapo ndio unakuwa senior professor.

Ili huwe lecturer unahitaji PhD; miaka ya uzoefu wako kwenye uhadhiri, pamoja na machapisho yako baada ya PhD ndio yanachangia wewe kuwa promoted to become a professor. Huko kwa wenzetu professor ni yule yeyote anayefundisha chuo.
Ninyi wasomi sasa mnatuchanganya, kuna mwenzio hapo kasema professor sio lazima awe na PhD.
 
Huo utaratibu labda wale madakitari pure ndo huwa wana utaratibu tofauti, pale Muhimbiri sina data zao. Lakini kwingineko huo ndio utaratibu nao ujua mimi.
 
Najua kwamba sio kila mwenye PhD ni professor ila kwamba sio kila professor ana PhD hiyo ni elimu mpya kwangu. Ili huyu mwenye PhD au asiye na PhD awe professor inatakiwa atimize vigezo gani?
Atakuja kukueleza yeye.
 
Senor lecturer Promoted to a rank of
Associate Professor. Nasisitiza amepewa cheo cha Associate Professor kama alivyo andikwa.
Okay. Kwa maana hiyo Senior lecturer na Associate professor ni cheo kilekile ni namna tu utakavyoamua kutaja? Samahani msinichoke me ngumbaru
 
Back
Top Bottom