Wa nyamadyaki
JF-Expert Member
- Mar 6, 2013
- 1,178
- 529
Safi sana mnyika
Safi sana mnyika
Mnyika ni jembe chapa jogoooooo
Hizo ni ahadi za JK kupitia ilani ya chama zinaanza kutekelezwa wala Mnyika ahusiki na lolote.Wakuu kutokana na waziri wa maji na wizara nzima kumgwaya Mnyika maeneo ya Kimara na Ubungo yameanza kutoa maji usiku wa kuamkia leo.
Maeneo hayo ni maeneo sugu kwa tatizo la maji jijini Dar.
Hii ni kwa mujibu wa HOT MIX ya eatv jioni hii.
Shikamoooooo....John Mnyika
Wamebana lakini wameachia wenyeweee.
Source:EATV
Hizo ni ahadi za JK kupitia ilani ya chama zinaanza kutekelezwa wala Mnyika ahusiki na lolote.
Maji mnayosema yanatoka mtaa gani jamani?
king'ongo
Maji mnayosema yanatoka mtaa gani jamani?
Yule mdada wa magamba(mamdenyi) mchoteeni ndoo moja akaoge maana hajaoga hii wiki ya 3.
Leo Mamndenyi lazima aogeshwe kwa NGUVU, tumechoka na excuse zake kwamba haogi kwasababu Ubungo hakuna maji. Lakini huyu huyu ndiye anashinda mitandaoni kuwatetea CCM waliopewa jukumu la kuwapatia Watanzania maji not to mention other social services
Hizo ni ahadi za JK kupitia ilani ya chama zinaanza kutekelezwa wala Mnyika ahusiki na lolote.
Kwani anakoishi Mamndenyi kwa sasa kuna tatizo sugu la maji kuliko Kimara?