Hatimaye maji yaanza kutoka Kimara na Ubungo

kuchangumu

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2014
Posts
724
Reaction score
290
Wakuu kutokana na waziri wa maji na wizara nzima kumgwaya Mnyika maeneo ya Kimara na Ubungo yameanza kutoa maji usiku wa kuamkia leo.

Maeneo hayo ni maeneo sugu kwa tatizo la maji jijini Dar.

Hii ni kwa mujibu wa HOT MIX ya eatv jioni hii.

Shikamoooooo....John Mnyika
Wamebana lakini wameachia wenyeweee.
Source:EATV

Tunahitaji wabunge kama Mnyika wenye uwezo wa kuisimamia serikali hii dhaifu ya magamba.Hongera sana Mnyika kwa kuwapigania wapiga kura wako na watz kwa ujumla
 
Walikuwa hawana pakutokea mkuu si unajuwa jj ni kichwa angewabana na bajeti yao ingekuwa matatani
 
Wakuu kutokana na waziri wa maji na wizara nzima kumgwaya Mnyika maeneo ya Kimara na Ubungo yameanza kutoa maji usiku wa kuamkia leo.

Maeneo hayo ni maeneo sugu kwa tatizo la maji jijini Dar.

Hii ni kwa mujibu wa HOT MIX ya eatv jioni hii.

Shikamoooooo....John Mnyika
Wamebana lakini wameachia wenyeweee.
Source:EATV
Mamndenyi jamaa anasema kweli? hebu njoo unihakikishie...
 
Last edited by a moderator:
Kutoka kwa maji leo hakufuti upuuzi unaofanywa na wizara ya maji. Kama ni janja yao ili budget ipite tutaendelea kupiga kelele
 
Wakuu kutokana na waziri wa maji na wizara nzima kumgwaya Mnyika maeneo ya Kimara na Ubungo yameanza kutoa maji usiku wa kuamkia leo.

Maeneo hayo ni maeneo sugu kwa tatizo la maji jijini Dar.

Hii ni kwa mujibu wa HOT MIX ya eatv jioni hii.

Shikamoooooo....John Mnyika
Wamebana lakini wameachia wenyeweee.
Source:EATV

mtoto akilia saaana anapewa pipi ili anyamaze. Angalieni yasije yakakatika wiki ijayo.
 
Mama Magdelena Sakaya, Waziri Kivuli wa Maji inaungwa mkono na karibia Wabunge wote bila kujali vyama.
Huyu mama mara nyingi huwa anakuwa na hoja sana, na huwa namkubali sana
 
Hii ni moja ya aibu ya waziwazi ndani ya serikali ya CCM, maji kuonekana Lulu!

Watanzania tuamke nchi ishawashinda CCM.
 
Back
Top Bottom