Hatimaye maji yaanza kutoka Kimara na Ubungo

Wakuu kutokana na waziri wa maji na wizara nzima kumgwaya Mnyika maeneo ya Kimara na Ubungo yameanza kutoa maji usiku wa kuamkia leo.

Maeneo hayo ni maeneo sugu kwa tatizo la maji jijini Dar.

Hii ni kwa mujibu wa HOT MIX ya eatv jioni hii.

Shikamoooooo....John Mnyika
Wamebana lakini wameachia wenyeweee.
Source:EATV
Anamgwaya Mnyika?
Mkuu unaumwa kichwa, kwani wananchi wa Kimara ni wanyarwanda.
Au hawastahili maji isipokuwa kwa kumfadhili Mnyika?

Nimaeneo mengi tu maji hakuna jini hapa Dsm, kwa hili, ndugu hustshili uthinka!
 
Hujaeleweka lugha
 
Endelea kutunzia wanaume wenzio tu.

Ingekuwa siku ya j3 ningesema ni hang over, lakini leo ni j4, vipi mama mbona leo mnakabana mashati na mdau hapo juu? Punguza jaziba muelewane tusonge mbele kwa pamoja, kumbuka mabega ya wananchi wengi wa nchii hii yameelemewa na magogo ya vigogo na tunavuja jasho kwa ajili ya wao na koo zao.
 
On sunday maji yalianza kutoka;
ila mpeni salamu sana munyika;
Siku nyingine ujue sehemu ya kulalamika na ujue ni nani anakwamisha uone pia na juhudi za mbunge... sio kuja kutoa lawama na mbunge Mnyika ameonyesha juhudi kubwa zaidi kuliko wabunge wengine vilaza ukiendelea kulalamika vile utakuja siku moja kulalamika leo nimeshinda na njaa mbunge wangu anafanya nini...

yaani Mamndenyi uwe na akili ya kujiongeza sio usubirie mbunge wako akuletee maji ndio uoge...
 
Last edited by a moderator:
Ingekuwa siku ya j3 ningesema ni hang over, lakini leo ni j4, vipi mama mbona leo mnakabana mashati na mdau hapo juu? Punguza jaziba muelewane tusonge mbele kwa pamoja, kumbuka mabega ya wananchi wengi wa nchii hii yameelemewa na magogo ya vigogo na tunavuja jasho kwa ajili ya wao na koo zao.

Amenianza mi namalizia tu.
 
Siku nyingine ujue sehemu ya kulalamika na ujue ni nani anakwamisha uone pia na juhudi za mbunge... sio kuja kutoa lawama na mbunge Mnyika ameonyesha juhudi kubwa zaidi kuliko wabunge wengine vilaza ukiendelea kulalamika vile utakuja siku moja kulalamika leo nimeshinda na njaa mbunge wangu anafanya nini...

yaani Mamndenyi uwe na akili ya kujiongeza sio usubirie mbunge wako akuletee maji ndio uoge...

Pita na zako.
Au Unataka kifungua kinywa?
 
Last edited by a moderator:
Wakuu kutokana na waziri wa maji na wizara nzima kumgwaya Mnyika maeneo ya Kimara na Ubungo yameanza kutoa maji usiku wa kuamkia leo.

Maeneo hayo ni maeneo sugu kwa tatizo la maji jijini Dar.

Hii ni kwa mujibu wa HOT MIX ya eatv jioni hii.

Shikamoooooo....John Mnyika
Wamebana lakini wameachia wenyeweee.
Source:EATV

Mkuu Kuchangumu nilishasema kuwa tatizo la maji jimbo la ubungo hasa kipindi cha Mnyika ni mpango wa CCM mahususi ili Mnyika asifanikishe ili watumie hiyo kama mbinu ya kulirejesha jimbo 2015.
 
Amenianza mi namalizia tu.

Basi mchukulie kawaida tu ila ukumbuke vita vya panzi ni furaha kwa kunguru. Chukulia panzi ni wananchi wengi halafu kunguru ni wananchi wachache ila madhalimu waliokabidhiwa dhamana ya kuwatumikia walio wengi.
 
Nimekusoma!!!!!
 
Back
Top Bottom