Hatimaye majeshi ya Urusi yameuteka mji muhimu wa Mariupol

Ukrainian forces holed up at the Azovstal steel plant in the Black Sea port city of Mariupol have outlined their conditions to leave the besieged location.

Late on Wednesday, Svyatoslav Palamar, the deputy commander of the neo-Nazi Azov regiment, released a new video address, stating that the troops were ready to leave the plant with the support of an unspecified “third party.” The fighters want to keep their personal weapons, as well as to evacuate their wounded.

Hawa wanaleta madai yasiyokubalika kwenye muktadha wa vita. Unayepigana naye akikuzidi nguvu ni kusal;imu amri tu na siyo kuleta masharti. Haiwezekani akuachie utoke na silaha zako uende unakotaka halafu ukajipange upya kisha urudi tena kwenye mapambano! Urusi imesema HAPANA!!
Ndivyo walimvyomuhadaa kwenye mazungumzo yao ya awali wakiwa Turkey, Putin kustukia ghafla wakamsaliti kwa kuizamisha meli ya RUSSIA na ndipo sasa Putin kaamua kuonesha rangi yake halisi kitabia ikoje akikasirishwa na unafki wa Zelensiky
 
Kuna watu wanapita kimnya kimnya kama msiba wa sh*ga hapa sema yule general wa chechen kadyrov ni balaa yule mwamba aliomba kibali afungue kigenge cha mishkaki hapo kiwandani putin ndio akakataa bila hivyo ingekua tunahadithia mengine hapa
Afu kuna kenge waliopandikizwa propaganda za chuki za media za USA na EU dhidi ya Putin kuwa ni katili sana na bado wanaamini tu huo upumbavu
 
Huo mji inamaana wanauteka kila siku kwa sababu toka vita imeanza kila siku wanasema umeuteka huo mji. Na ukijaribu kulifuatilia hili swala rais wa Ukraine huwa analipinga mara kwa mara.
Na ikumbukwe warusi ni waongo balaa juzi tu meli yao ililipuliwa na wanajeshi wa Ukraine lakini hilo warusi walipinga wanasema ilijilipua yenyewe.
Na unaweza usikie huo mji Leo wanasema warusi wameuteka mara kesho tunasikia umerudi tena Ukraine.
 
Kuna watu wanapita kimnya kimnya kama msiba wa sh*ga hapa sema yule general wa chechen kadyrov ni balaa yule mwamba aliomba kibali afungue kigenge cha mishkaki hapo kiwandani putin ndio akakataa bila hivyo ingekua tunahadithia mengine hapa
Yule jamaa alimsumbuaga sana Putin sijui imekuaje wakawa washkaji na akaamua kununua ugomvi. Mwamba ni mtalibani flan hivi WA kizungu ambaye kwake kufa ni sehem ya ibada, jamaa wanamisimamo haijapatwa kuonwa. Na huo utata amerithi kutoka Kwa baba yake ambaye nae alikuwa kiongozi. Kwa kifupi ni mtoto wa kishua ambaye hana njaa ya mkwanja na hanaga shobo na maisha ya dunia..
 
Kuna watu wanapita kimnya kimnya kama msiba wa sh*ga hapa sema yule general wa chechen kadyrov ni balaa yule mwamba aliomba kibali afungue kigenge cha mishkaki hapo kiwandani putin ndio akakataa bila hivyo ingekua tunahadithia mengine hapa
,
 
Huo mji inamaana wanauteka kila siku kwa sababu toka vita imeanza kila siku wanasema umeuteka huo mji. Na ukijaribu kulifuatilia hili swala rais wa Ukraine huwa analipinga mara kwa mara.
Na ikumbukwe warusi ni waongo balaa juzi tu meli yao ililipuliwa na wanajeshi wa Ukraine lakini hilo warusi walipinga wanasema ilijilipua yenyewe.
Na unaweza usikie huo mji Leo wanasema warusi wameuteka mara kesho tunasikia umerudi tena Ukraine.
mji umetekwa zaidi ya mara 15 nadhani hii ya leo ni kubwa kwi kwi kwi
 
Back
Top Bottom