Rais Putin atembelea mji wa Donbass nchini Ukraine

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
21,246
34,196
Baada ya crimea Putin ametinga Donbass katika ziara ya kutembelea jimbo hilo kukagua shughuli ya ujenzi!

Pia aliendesha gari maeneo mbali mbali ya mji huo na kukutana na wananchi wa eneo hilo wakiwa na furaha baada ya kukombolewa na wanajeshi wa Urusi kutoka kwa wauaji wa Ukraine!

--
Russsian President Vladimir Putin has made an unannounced “working trip” to Mariupol. The surprise visit is the first time Putin has visited the Donbass region, since it de facto broke away from Ukraine nine years ago.

The Azov Sea port city was liberated by Russian forces last spring during the military operation in Ukraine, and joined Russia as part of the Donetsk People’s Republic following a September referendum.

Putin arrived in Mariupol by helicopter, accompanied by Russian Deputy Prime Minister Marat Khusnullin, multiple news agencies including TASS and RIA Novosti reported on Sunday morning, citing the Kremlin’s press service.

The president visited several districts of the city to inspect the progress of restoration efforts, including the construction of “new residential districts, social and educational facilities, housing and communal services infrastructure, medical institutions.” He also toured the “coastline in the area of the yacht club, theater,” as well as other “memorable places” in the city.

Putin also drove through the streets of Mariupol to inspect the facilities, while taking time to speak with residents.

On Saturday, the Russian president was in Crimea to mark the ninth anniversary of the peninsula’s reunification with Russia, after it overwhelmingly voted to join Russia in a referendum following a Western-backed coup in Kiev in 2014.

Putin's visit to Mariupol, which represents arguably Russia's most significant triumph in the year-long military operation, was unexpected.

Source: Putin makes surprise visit to Donbass
 
Baada ya crimea Putin ametinga Donbass katika ziara ya kutembelea jimbo hilo kukagua shughuli ya ujenzi!

Pia aliendesha gari maeneo mbali mbali ya mji huo na kukutana na wananchi wa eneo hilo wakiwa na furaha baada ya kukombolewa na wanajeshi wa Urusi kutoka kwa wauaji wa Ukraine!

Link: Putin makes surprise visit to Donbass
Hii vita itabadilisha sana mambo

Sisi tulioneutral tunafatilia huku tunajifunza jambo

Walisema anaogopa kufika hayo maeneo kwasababu anaogopa kuuliwa

Sasa kafika inaonesha kuna ujumbe anaupeleka kwa mahasimu wake

Na kwa ninachokiona hayo majimbo hayawezi tena kurudi Ukraine kama Putin ameshayatembelea.
 
Hayawezi rudi tena.

Pamoja na kuendesha gari pia alikutana na raia nankuongea nao

Back
Top Bottom