Rutunga M
JF-Expert Member
- Mar 16, 2009
- 1,769
- 1,393
AUDIO; MADEREVA WALIOTEKWA CONGO WAPATIKANA KAGERA

Madereva kumi kati ya 21 wa Tanzania walikokuwa wametekwa mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, wamefika Morogoro wakitokea mkoani Kagera.
Kwa mujibu wa afisa biashara mkoani Kagera Isahya Tendega, aliyezungumza na mwandishi wa macmedianews, amesema kuwa madereva hao kumi waliingia mkoani Kagera kupitia kwenye halmashauri ya Ngara, walipoingilia juzi tarehe 6/7/2017, baada ya kutekwa na kuachiliwa na kundi la Mai Mai.
Amesema kuwa madereva hao raia wa Tanzania, walitekwa wakiwa na malori yenye mitambo ya kuchimba madini, ambapo watekaji waliharibu malori yao kwa kupasua tairi na kuwanyang’anya vitu vyote walivyokuwa navyo, na hatimaye kuwaachilia, hivyo wameingia nchini kwa kutembea na kuomba misaada ya hapa na pale.
Chanzo: MADEREVA 10 WALIOTEKWA CONGO WAPATIKANA,SOMA HAPA – Toptalk News