Hatimaye local channels zarudi king'amuzi cha DSTV

Leo asubuhi nimeona UPENDO TV imeingizwa,mambo huku ni fire...
 
sijaiona itv, walinikatishia uhondo wa isidingo ikiwa moto sana
 
Kwa sababu maisha ya kijamii yametawaliwa na siasa.........hata kama wataalamu watatoa maelekezo au ufafanuzi, mwishoni lazima waje wanasiasa waongee kwa sababu wanaaminika sana na watu kutokana na kwamba wamewachagua kwenye hizo nafasi za kisiasa wawasemee na kuwatatulia changamoto zao.
 
Yule aliondoka 17 March 2021...
Sheria iliyotumika kuondoa hizo chanel ilikua ni sheria yakirasimu.Tanzania tuna ujinga wetu wenyewe ambao ukiufwatilia sana utaona jinsi ambavyo unatufanya tuwe nyuma kwenye mambo mengi.Nchi zote zinazotuzunguka chanel zao za ndani unazipata dstv ila hapa bongolala tukaziondoa kwasababu ambazo hazieleweki.Tunaacha kutanua wigo wa mambo yetu kufika mbali duniani ili kukuza ushindani tunabaki kuweka vikwazo visivyo na faida.Nampa hongera huyo aliyeona kuna haja yakuzirudisha.Maana bila ushindani na kujitangaza duniani kamwe hatuwezi kufika mbali.Tutabaki kua taifa lakinyonge lisilo na mbele wala nyuma.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Banged Abroad wanarudia story zile zile mwaka hadi mwaka. Wameishiwa...
Mimi ni 171 IDx, na kwenye geographic kile banged abroad.
Kunq ma channel flani pale uwa wanaonyesha mambo ya watu wanagombanisha robots uwa napenda kiasi. Na aljazeera pia
 
Dstv waje wajibu
ITV
EATV
CAPITAL TV
CHANNEL 10+
STARTV

Lin zitarud

Afu pia Dizzim tv wafanye mpango nayo iwepo
 
Sheria iliyotumika kuondoa hizo chanel ilikua ni sheria yakirasimu.Tanzania tuna ujinga wetu wenyewe ambao ukiufwatilia sana utaona jinsi ambavyo unatufanya tuwe nyuma kwenye mambo mengi.Nchi zote zinazotuzunguka chanel zao za ndani unazipata dstv ila hapa bongolala tukaziondoa kwasababu ambazo hazieleweki.Tunaacha kutanua wigo wa mambo yetu kufika mbali duniani ili kukuza ushindani tunabaki kuweka vikwazo visivyo na faida.Nampa hongera huyo aliyeona kuna haja yakuzirudisha.Maana bila ushindani na kujitangaza duniani kamwe hatuwezi kufika mbali.Tutabaki kua taifa lakinyonge lisilo na mbele wala nyuma.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app

Ilikuwa ni mambo ya Mwendazake kulazimisha watu waangalie TBCCM tu... mambo yake ya "ligasi"
 
Back
Top Bottom