Hatimaye local channels zarudi king'amuzi cha DSTV

Hivi kwa nini zilizolewa?
Mambo yao ya ushindani wa kibiashara, DSTV vs AZAM na STAR TIMES, inasemekana hao Azam na Startimes walikolabo kumbana dstv kuwa anaonesha channel za bure kwa kuziuza maaana ili mtu aone hizo channel kwenye dstv ni lazima alipie, kwa hiyo kwa DSTV channel hizo haziwi FTA tena bali za kulipia. Wao wakawa wanakomaa kuwa leseni zao ndio zinaruhusu wao pekee kuonesha channel hizo, mlango wa nyuma ni kuwa wateja wengi wanauelewa ubora wa picha wa DSTV kwa hiyo wakipata na hizi local channel watahamia mazima kwenye DSTV na kuyumbisha soko la startimes na azam, hasa ukizingatia DSTV ndio kisimbuzi kinachouzwa bei nafuu kuliko vingine vyote.
 
Unasema kuwa Clouds Tv ina picha nzuri ikiwa Dstv kuliko inavyokuwa ikiwa Azam?.

Sikubaliani na wewe.
 
Mkuu, kwako wewe Channel za maana ni zipi??

Kisimbuzi kina channels zaidi ya 200, kati ya hizo binafsi nnazopenda hazifiki 10…. ni chaguo lako tu…. nyingine sijawahi hata kuzifungua kwa bahari mbaya.
 
Wife huwa anaangalia channel mbili tu kwenye DSTV, Maisha Magic Bongo na ile EAST, sasa mimi nilikuwa nasingizia naenda kucheki taarifa ya habari ya ITV saa mbili narudi saa tatu na nusu, hapa ITV ikirudi sijui itakuaje.
 
Tulia beki tatu jifunze walau kuandika kwanza, huko TVE sijui WasafiTV sijui CloudsTV kuna vipindi gani vya kutazama mtu timamu?
Lakini nilichoandika umekielewa, ITV EATV Star TV mbona hujazitaja

Alafu we juha HD sio kingamuzi HD ni Channel n
 
Nahitaji kutaja zote ili uelewe msingi wa hoja yangu? Akili ndogo mnateseka sana, hizo ITV sijui EATV ndo zina vipindi gani vya kutazama mtu timamu?
 
Back
Top Bottom