ghetopuzzle
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 440
- 504
Clouds tv - 387
Channel 10 - 386
Nyingine zinakuja
Channel 10 - 386
Nyingine zinakuja
Mapema kabisaSiti ya mbere reo..
Mpaka uwe na kifurushi..fafanua zinarudije? mpaka kiwe kina package/ bundle ama hata kama hakijalipiwa local chanel ntaziona?
nasubiri jibu hapafafanua zinarudije? mpaka kiwe kina package/ bundle ama hata kama hakijalipiwa local chanel ntaziona?
Hata vya bure huelewi..😅😅😅fafanua zinarudije? mpaka kiwe kina package/ bundle ama hata kama hakijalipiwa local chanel ntaziona?
Kama hauna hata kifurushi cha dstv poa cha elfu tisa basi chaneli utakayoina ni TBC tu.fafanua zinarudije? mpaka kiwe kina package/ bundle ama hata kama hakijalipiwa local chanel ntaziona?
nakunyoja hapa utujulishe kama kweliNyoja nikacheki kama zimerudi
Unatakiwa kuwa na kifurushi chochote kile hata Kama cha shilingi elfu 9 Kama ilivyo wasafi na TVE si ilikua mpka ulipie kifurushi ndipo zionekane? Ndivyo hvyofafanua zinarudije? mpaka kiwe kina package/ bundle ama hata kama hakijalipiwa local chanel ntaziona?
Ntakujuza maana ndio zinarudishwa mkuu zimerudi mbili kwanzaItv
Eatv
Chanel 10 plus
Startv
Upendo tv
Capital tv
Plus tv
Dizzim tv
N.k
Ziko chanel no ngap
Ok hapo sawa, kwahiyo tukubaliane sio bure.Unatakiwa kuwa na kifurushi chochote kile hata Kama cha shilingi elfu 9 Kama ilivyo wasafi na TVE si ilikua mpka ulipie kifurushi ndipo zionekane? Ndivyo hvyo
Weka namba 387 na 386 ndizo zilizorud kwanzanakunyoja hapa utujulishe kama kweli
Sio bure asee..usipolipia utaona TBC tu..Ok hapo sawa, kwahiyo tukubaliane sio bure.