Hatimaye local channels zarudi king'amuzi cha DSTV

Hatimaye local channels zarudi king'amuzi cha DSTV

Tunataka Tanzania mux. Nape kaa na wataalamu wakuambie badala ya kutegemea paytv. Nchi nyingi Duniani na Afrika wameweka channels zote kwenye satellite moja inayofikika kirahisi hivyo mtu anakuwa na Uhuru wa kununua fta dikoda au dikoda za pay tv.
 
Back
Top Bottom