Amepita njia rahisi sanaa.angepita machame a.k.a mechamecha. Au umbwe! Sidhani kama angetoboa lakini hongera zake lakini tunataka apate mtoto sasa ubishoo aache bana kwani atamrishisha nani hizo pesa zake?atafute wanamume kama mimi wazee wa shughuri na kama anauona mzunguko kwanini asizae?aache uboya au hua anaibania nini hatoi yote tehe tehe teheee
George umenichekesha sana mkuu..............wewe unaweza kumfikisha kilele gani?
Cha Kilimanjaro ndugu yangu picha si zinajieleza.pole naona ulikuwa ushawaza kilele kingine.ila seriously heading inachanganya sana maanake hata mi mwanzoni nilianza kujiuliza maswali lukuki kwanza.Lady jay dee ni mwanamke, mumewe ni mwanaume. Unaposema kafikishwa kileleni unamaanisha nini mkuu? unamaanisha kilele gani?
Acha fujo kijana,nadhani hujaelewa vizuri huu uzi !Jamani kupanda Raha sana, kama kuna anayehitaji na mimi nimfikishe kileleni ani pm, maana nilifika tangu mwaka 2008...nitakueleza mbinu rahisi za kufika, lakini lazima utomase sana
vinatofautiana kama Meru bei nafuu kiasi ila Mawenzi na Kibo aghali kidogo wewe unataka kilele kipi?
Me nataka kilele kirefu!!!!!!!
Mkuu hii lugha uliyotumia inaleta karaha.
Me nataka kilele kirefu!!!!!!!
View attachment 79513
Jide akifurahia BAADA YA KUFIKA KILELENI
kumbe alifikishwa kileleni kwanza, halafu akafika kileleni? Huu ni ubaguzi wa kijinsia. Mwanamke hawezi kufika kileleni bila msaada wa mwingine?
Huyu siyo Whoopii Goldberg kweli huyu????View attachment 79513
Jide akifurahia BAADA YA KUFIKA KILELENI
Haikuhusu...!Azaa lini huyu....