Hatimaye Lady Jay Dee Afanikiwa Kupanda Mlima Kilimanjaro

Hatimaye Lady Jay Dee Afanikiwa Kupanda Mlima Kilimanjaro

Unajua tatizo mmezoe sana mada za Mbuzi Mzee, unajua you must lead a horse to water, drinking is another business but your part is done................

Hapana Mkuu Amavubi.. Tatizo kichwa chako cha habari kimeacha mwanya mkubwa.. Mwisho wa ciku kila mmoja anapata maana yake ambayo ndio inakuwa tafciri kwake kwa kichwa hicho cha habari.. Ungemalizia kwa kuutaja mlima hudhani kama ungetusaidia sana kuelewa moja kwa moja maana ya kichwa chako cha habari..? Vinginevyo waniaminisha uliamua kuleta mfarakano kwenye bongo za wasomaji (pamoja na mie) maskudikally..
 
Tunashukuru kwa KUFIKISHWA KILELENI JIDE.
Wenzio wanapanda lakini hawafiki KILELENI ni miujiza ya mungu na mumewe kukufikisha kileleni.
Ni mfano wa kuigwa kwa wadada wa jf mnaotaka kupandishiana ili mfike KILELENI.

Hongera sana
 
Nilikuja mbiiiiiiiiiio,kumbe sicho nilichokikimbilia.
Ngoja niende zangu kwenye jukwaa la'maladavi'
 
wana JF wote mseme na iwe hivyo
Tunashukuru kwa KUFIKISHWA KILELENI JIDE.
Wenzio wanapanda lakini hawafiki KILELENI ni miujiza ya mungu na mumewe kukufikisha kileleni.
Ni mfano wa kuigwa kwa wadada wa jf mnaotaka kupandishiana ili mfike KILELENI.
 
pole mkuu ndio maana tunaambiwa tukilala tunshika dushelele badala ya kichwa meaning mawazo yetu yanaelekea chini kama pua inayoelekea udongoni, nilichofanya immediately ni kuweka habari yenyewe ili msije kanganyikiwa ...ni mawazo mgando tu sosoliso
Hapana Mkuu Amavubi.. Tatizo kichwa chako cha habari kimeacha mwanya mkubwa.. Mwisho wa ciku kila mmoja anapata maana yake ambayo ndio inakuwa tafciri kwake kwa kichwa hicho cha habari.. Ungemalizia kwa kuutaja mlima hudhani kama ungetusaidia sana kuelewa moja kwa moja maana ya kichwa chako cha habari..? Vinginevyo waniaminisha uliamua kuleta mfarakano kwenye bongo za wasomaji (pamoja na mie) maskudikally..
 
kwa kweli inategema kuna route mbili Coka na Konyagi lakini sisi tulipanda kama group ilikua laki 350 including vyakula na wapagazai hiyo kumbuka ilikua ni 2008, ni pm..............hii ni maana halisi lakini kwa tafsida kuna wataalamu pale Mnazo Mmoja wana bei zao, hata wale wenye ulemavu wa TOT nasikia wana bei maalum na wamejenga nyumba sbb inasemekana wana nguvu sana ya kumfikisha mtu kileleni na majimama yanashoboka na yenyewe yafike...........
Mkuu kufikishwa kileleni ni Sh. ngapi???
 
Nahisi unajua kuna habari ya mtu kula samaki na samaki kula mtu....watu watasoma habari ya SAMAKI KULA MTU......
Hicho kichwa cha habari, subiri uone watu watakavyoupitia huu uzi,
 
haya rudi mbio kama ulivyokuja huku waachie akina Watu8 wana uzoefu nako
Nilikuja mbiiiiiiiiiio,kumbe sicho nilichokikimbilia.
Ngoja niende zangu kwenye jukwaa la'maladavi'
 
Amepita njia rahisi sanaa.angepita machame a.k.a mechamecha. Au umbwe! Sidhani kama angetoboa lakini hongera zake lakini tunataka apate mtoto sasa ubishoo aache bana kwani atamrishisha nani hizo pesa zake?atafute wanamume kama mimi wazee wa shughuri na kama anauona mzunguko kwanini asizae?aache uboya au hua anaibania nini hatoi yote tehe tehe teheee
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom