Hatimaye Lady Jay Dee Afanikiwa Kupanda Mlima Kilimanjaro

Hatimaye Lady Jay Dee Afanikiwa Kupanda Mlima Kilimanjaro

naona umefikishwa kwa mara ya kwanza hadi umechoka na kuwa kama kabibi au makeup hazipigi kazi huko kilelen
 
Dah, baada ya kusoma heading nilitamani kujuwa kunani ili nami nimtongoze na hatimaye kumfikisha kileleni tena kwa mara ya pili in a week. Kumbe habari zenyewe ni uandishi wa kibongo fleva? Unaandika habari zisizoendana na heading, very pathetic!
 
Jamani kupanda Raha sana, kama kuna anayehitaji na mimi nimfikishe kileleni ani pm, maana nilifika tangu mwaka 2008...nitakueleza mbinu rahisi za kufika, lakini lazima utomase sana

Unatomaswa mwanzo wa safari au mwisho?
 
Tutaaminije kama alifika uhuru peak?
 
Jide looks all grown up now, so nice. I remember back in the days when she was working with clouds fm, pale kitega uchumi, she used to stop for a drink pale chini, chinese restaurant. I saw her several times usually with a safari lager n a sigarete...alikuwa na kaumbo ka kitoto sana very different with the way she looks like now.
 
Naona Gadna naye anapokea cheti cha kumfikisha Jay Dee kileleni.
 
Tunashukuru kwa KUFIKISHWA KILELENI JIDE.
Wenzio wanapanda lakini hawafiki KILELENI ni miujiza ya mungu na mumewe kukufikisha kileleni.
Ni mfano wa kuigwa kwa wadada wa jf mnaotaka kupandishiana ili mfike KILELENI.
Hongera sana
me nataka niwafikishe kileleni madada wote wa humu tuukwee pamoja huu mlima
 
Kilele cha Mlima? Hongera JD & your hubby Gardner kwa kufika Kileleni.
 
ujipange si kazi ndogo hadi kumfikisha mtu kileleni, hutakiwi kuwa na papara na unatakaiwa ule vizuri
Namim natafuta wakumfksha kilelen gharama zote juu yangu
 
Jide looks all grown up now, so nice. I remember back in the days when she was working with clouds fm, pale kitega uchumi, she used to stop for a drink pale chini, chinese restaurant. I saw her several times usually with a safari lager n a sigarete...alikuwa na kaumbo ka kitoto sana very different with the way she looks like now.
days are numbered
 
pole mkuu ndio maana tunaambiwa tukilala tunshika dushelele badala ya kichwa meaning mawazo yetu yanaelekea chini kama pua inayoelekea udongoni, nilichofanya immediately ni kuweka habari yenyewe ili msije kanganyikiwa ...ni mawazo mgando tu sosoliso

Ha ha ha Amavubi.. Wahindi wanashika tumbo.. Wazungu wanashika kichwa..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom