Hatimaye kumekucha WCF

mapenz matam

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
214
256
Wakuu habari za siku habari za mihangaiko??? jamani WCF wametoa shortlist yao so kwa wale walioomba angalieni kwenye web yao {japo net yao iko down saana wakuu} ila komaeni nayo.

kila la kheri jamaniiii

Anagalieni hapa
ww.wfc.go.tz
 
Wakuu habari za siku habar za mihangaiko??? jamani WCF wametoa shortlist yao so kwa wale waloomba angalien kwenye web yao {japo net yao iko down saana wakuu} ila komaeni nayo.

kila la kheri jamaniiii

anagalieni hapa
ww.wfc.go.tz
Inahusiana na non kwab
 
Wfc means w football club na wcf vitu viwili tofauti
 
Back
Top Bottom