Hatimaye kumekucha WCF

Hatimaye kumekucha WCF

Mwenye experience just a little bit na formality ya aptitude za hawa WCF.... Naomba share hapa
 
serikalini kuna vituko..yani nafasi mbili wanaita watu 2672?
 
Naomba ya call center officer mkuu, kila nikufungua yanakuja majina ya senior compliance officer
 
Naomba ya call center officer mkuu, kila nikufungua yanakuja majina ya senior compliance officer
mkuu na wewe unatafuta orodha ya watu wa IT?

mm pia nimejarbu kufungua link zote nikajua watakuwa wamemi palces lakni wapi, ukifanikiwa naomba na mm unijuze
 
nimeifungua kwa sinu hyo link ila hainiletei venue za kufanyia hyo aptitude test especially kwa nafasi ya call center officer .

Msaada wadau wa venues za kufanyia aptitude test kwa kila position
 
nimeifungua kwa sinu hyo link ila hainiletei venue za kufanyia hyo aptitude test especially kwa nafasi ya call center officer .

Msaada wadau wa venues za kufanyia aptitude test kwa kila position
Venue ipo kama ya Call Center ni DUCE.
 
Naombeni msaada venue post ya compliance officer grade lol ni duce au Ifm,
Coz nimefungua na simu lakin haionyeshi venue kabsa.
 
jmn tuelekezeni jinsi yakupata hyo ukurasa wao mbona hatuoni
 
Back
Top Bottom