Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,550
- 6,062
Upuuzi mtupu, kama ni shushu kweli walishindwa kumtafutia LESENI???? Acheni uzushi nyie ndio mnaipausha JF mpaka kinaonekana ni KIJIWE cha waliokosa kazi, JK kawasamehe wafungwa kwa tatratibu zilizopo na sio kwa majina, ebooooo
Una uhakika alikuwa hana au waliona aseme HANA ili makosa yake mengine yafunikwe?
Kwani makosa yake yalibaki KUENDESHA BILA LESENI.
Kwani makosa yake yalibaki KUENDESHA BILA LESENI.