Hatimaye Kikwete amsamehe Deus Mallya... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatimaye Kikwete amsamehe Deus Mallya...

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sajenti, Apr 28, 2010.

 1. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Katika kuadhimisha miaka 46 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete alitoa msamaha kwa wafungwa 3,101. Katika msamaha huo yumo kijana Deus Mallya aliyeshitakiwa kwa kosa la kuendesha gari kwa uzembe na bila ya kuwa na leseni na kusababisha ajali iliyopelekea kifo cha aliyekuwa Makamu mwenyekiti wa CHADEMA marehemu Chacha Wangwe. Ajali hiyo ilitokea katika eneo la panda mbili katika mkoa wa Dodoma........
   
 2. M

  Magezi JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Huenda yaliyosemwa yalikuwa ya kweli, prof. Lipumba aliwahi kunukuliwa akisema Deus mallya ni shu shu shu na alipata mafunzo yake Libya. Kwa hiyo huenda alitumika kutekeleza kazi maalumu ya serikali.
   
 3. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #3
  Apr 28, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Ukisema hivi inamaanisha kifo cha Chacha Wangwe kilipangwa ???
   
 4. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #4
  Apr 28, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Dah utazuka mjadala hapa ngoja nisubili.
   
 5. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Na yeye siku yake ya kukufa si ipo jamani. hataishi milele
   
 6. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mh! huu mjadala huu!! mi yangu masikio.
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Apr 28, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Msamaha kwa mtu aliyesababisha ajali na kuua public figure anasamehewa kirahisirahisi tu?...Imekwendakwendaje hii?..Mbona walisema msamaha unawahusu Wagonjwa wa Ukimwi na TB, na vitu vya namna hiyo?
   
 8. L

  Lukwangule Senior Member

  #8
  Apr 28, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 150
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  cha kuchekesha kipo hapa je ni kikwete anayependekeza majina ya wasamehewa au nani.. mbona hizi link huwa zinakera je kosa la kuendesha gari na kusababisha ajali iliyoua si kosa dogo tu la traffic? Mbona tunasema tu bila kujua hasa hizi sheria zinasemaje na nani hasa anahusika na mipangilio. Hili huwa linatyupa sana watanzania. kwa kawaida wanaosamehewa ni wale wenye makosa ya kipuuzi na wagonjwa je kosa la trafic si la kipuuzi na kama shushushu kafanya kazi yake ilikuwaje wahangaike vile?: Serikali huua ndio lakini wako very niti katika hili na kama unabisha soma falsafa za mauaji na conspiracy zake
   
 9. L

  Lukwangule Senior Member

  #9
  Apr 28, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 150
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nilikuwa nje ya mtandao duh haya mabadiliko yako very unfriendly. sipendi JF huo ndio ukweli inanisumbua haya marangirangi yenu mfumo ahh yaani ulijiondoa hewani kufix vitu au ulijiondoa hewa kunikera. mhh nilikuwa nafikiri tu.
   
 10. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #10
  Apr 28, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Mkuu mbona umetoka nje ya mada?
  Au umepotea njia!!
   
 11. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #11
  Apr 28, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mkuu utakuwa umetumwa??

  Sasa wewe ndo unatukera bora upotee kabisaaaaa.....nitamshutua mode akubani
   
 12. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #12
  Apr 28, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Mfalme, your wish has been granted.........nimeshampiga ban!
   
 13. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #13
  Apr 28, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  tatizo nchi hii ina mambo mengi sana..yaliyomo na yasiyokuwemo ....mbona kina nanihii hawajasamehewa basi??
   
 14. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #14
  Apr 28, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Mkuu si unajua hii ni bongo kila kitu kinawezekana. Kwni kuna tabu gani kama hao walioko kwenye parol board wakiambiwa watengeneze mazingira kuwa Deus ni mgonjwa wa TB au muathirika wa HIV ili atoke?? Sishangai sana....Haya ni mambo ya chekundu cheusi ukiokota cheupe umeliwa bana...!!
   
 15. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #15
  Apr 28, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Unaimanisha Babu...................????
   
 16. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #16
  Apr 28, 2010
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Hii ni skendo, wala si jambo dogo. Wanajua wanachokifanya.
   
 17. Kandambilimbili

  Kandambilimbili R I P

  #17
  Apr 28, 2010
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 782
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Upuuzi mtupu, kama ni shushu kweli walishindwa kumtafutia LESENI???? Acheni uzushi nyie ndio mnaipausha JF mpaka kinaonekana ni KIJIWE cha waliokosa kazi, JK kawasamehe wafungwa kwa tatratibu zilizopo na sio kwa majina, ebooooo
   
 18. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #18
  Apr 28, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Unanikumbusha Masanja wa Ze comedy..Eti jamani baba Riz chonde chonde msamehe tu babu.....s
   
 19. M

  Magezi JF-Expert Member

  #19
  Apr 28, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Mkuu vipi ya Gen. Imrani Kombe kwani ilikuwaje?
   
 20. M

  Magezi JF-Expert Member

  #20
  Apr 28, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145

  Mkuu hayaja kukuta lakini kama ungeisha ondokewa na mpendwa wako ktk mazingira ya kutatanisha yanayo acha maswali basi usingelisema hayo unayosema sasa. Omba Mungu tu akuepushe na mkono wa dola, huwa ni mrefu sana na mgumu huwezi kuukata hata kwa gesi.
   
Loading...