Nilianza enzi za akina l Zebedee Matabane na mke wake Agnes na watoto akina Letti na Parsons; Calvin Xavier; Barker Haines; Georgie Zamdela; Rajesh Kumar
Enzi hizo ikifika mida ya saa 1 jioni unaanza kujivuta kwenda home bila kushurutishwa, enzi zile kila kitu kizuri kilikuwa cha wote yaani kama tulikuwa programmed hivi ukienda mtaani story ni hizo hizo. Sasa hivi series zipo nyingi kiasi kwamba mnaweza mkakutana watu 10 kila mtu ana series yake anayoifuatiliaNilianza kuangali enzi za akina Zeb,nandipha, George zamdela,mike,pasons, kitambo sana mwishoni mwa 90's
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungeifuatilia ungeipenda..
Swadakta!
Pale kuna assumption mbili, either ni Charly bint wa Eddie Hormes amekuja kulipiza au ni mke wa Mayekiso. Afu naona kama mwamba Sibeko alifungua macho pale mwisho, maana yake kama watapata station nyingine wanaweza kuwa na muendelezo.Yule jamaa alikua wa aina yake, tajiri, mafia, ana huruma, ana utu, katili, anajua mapenzi lakini ilikua inategemea unamkuta kwenye mazingira gani. Alichomfanyia Ambassador ndio nikaona jamaa ni habari nyingine.
Ubabe wake ulikua unachagizwa na Roman...
Hivi yule mwanamke aliyemtwanga risasi Lincoln ni nani?
Muendelezo uwepo aisee.... Na kama ni yule binti wa Eddie Holmes hiko kisa kitakua kitamu zaidi ya Mrs MayekisoPale kuna assumption mbili, either ni Charly bint wa Eddie Hormes amekuja kulipiza au ni mke wa Mayekiso. Afu naona kama mwamba Sibeko alifungua macho pale mwisho, maana yake kama watapata station nyingine wanaweza kuwa na muendelezo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Muendelezo uwepo aisee.... Na kama ni yule binti wa Eddie Holmes hiko kisa kitakua kitamu zaidi ya Mrs Mayekiso
Nadhani management wakipata tv station nyingine wanaweza hama, za chini chini zinasema kulikua na mgogoro kati ya SABC na hao Isidingo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pale kuna assumption mbili, either ni Charly bint wa Eddie Hormes amekuja kulipiza au ni mke wa Mayekiso. Afu naona kama mwamba Sibeko alifungua macho pale mwisho, maana yake kama watapata station nyingine wanaweza kuwa na muendelezo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikuwahi hata kuielewa nikafutilia mbali
Mimi walipoacha zile scenes za wale wana wa migodini na ile bar yao wakipiga masanga....nikaachaga sijui ilikuwa 2004 au 2005
Sent using Jamii Forums mobile app