CRISTA
Member
- Aug 5, 2012
- 82
- 36
Eti Nina anamtega kimapenzi Ntando mtoto wa Lincorn,ili kulipiza kisasi kwa Lincon ambaye amemtema na kwenda kwa Lungi
Lungi nae anamzingua Mzee Lincon kwa sababu ya umbea toka kwa Seshaba kuwa Lincon alimuua Mke wake.
Hedrick nae stress tupu na familia yake,wife amekaza kumsamehe kwa kosa la kutembea kimapenzi na ndugu yake
Sibiya naye Chapombe anatongoza pasipo tongozeka
Usishangae wakti mwingine tuko huku tunasahau machungu ya Dunia
Blessings