Hatimaye Isidingo imefika tamati baada ya miaka 21

Hatimaye Isidingo imefika tamati baada ya miaka 21

Tutaimiss sana...na hope watakuja kivingine kama Generation aisee....
 

Attachments

  • Hlomla Dandala.jpg
    Hlomla Dandala.jpg
    50.3 KB · Views: 8
Sibeko ndio mbabe aliebaki mpaka mwisho na alimudu nafasi yake.

Yule jamaa alikua wa aina yake, tajiri, mafia, ana huruma, ana utu, katili, anajua mapenzi lakini ilikua inategemea unamkuta kwenye mazingira gani. Alichomfanyia Ambassador ndio nikaona jamaa ni habari nyingine.

Ubabe wake ulikua unachagizwa na Roman...

Hivi yule mwanamke aliyemtwanga risasi Lincoln ni nani?
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom