Kabisaaa kitu chenye miaka 21 umri wa mtu siwezi kuelewaTangu 2000 naiangalia sielewagi kitu, hainivutii hata kidogo.
Bora mara 100 niangalia akina Aljadru wa Mexico wanasisimua sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah.
Tumeangalia Isidingo ITV miaka ya tisini, nafikiri ilikuwa 1998 hivi.
Sent from my typewriter using Tapatalk
Sechaba best overall actor wa series hii kwa upande wangu. Toka kua miner mpaka kumiliki hotel na Mayor wa HDSABC 3 leo ndiyo wameirusha ya mwisho.Siyo mbaya ilitupa furaha kipindi chote cha miaka 21 wengine tumeanza kuiona 2003 enzi za kina Matabane family,maggie,papa g,cherel,parsons,letti,vusi,len cooper,frank,barker,sibekos,sechaba,sibiya.
Safi sana hii soapie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sibeko ndio mbabe aliebaki mpaka mwisho na alimudu nafasi yake.Uko sahihi, ilichukua nafasi ya Egoli kama sikosei.
Nimeangalia Episode ya mwisho jana imeisha kwa utata sana. Sikuwahi kufikiria ingeendelea kuwa na mvuto baada ya Barker Haines kufariki kwenye Isidingo lakini Sibeko (Lincoln) aliendelea kusisimua na kuitendea haki nafasi yake kiuigizaji.
Wakat naangalia ITV ndio ilikua hivyo ila kwa YouTube kila siku unakuta episode mpyaKwahiyo tangu mwa 2013 ulipo anza kuangali jee umeme haujawahipo kuzimwa au ikatokea siku ukaambiwa Leo hatuwezi kuonyesha ta mthilia kwasababu matatizo ya kiufundi yapo njee ya uwezo wetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Isidingo haikua na story za Telemundo kua lazima Julian na Maria lazima waishie pamoja. Ilikua na series ya maisha ya kila siku ya wananchi wa HD. Kila baada ya episodes kadhàa kulikua na storyline mpya. Ambapo ukiingia popote ungeelewaSijawahi kuielewa nashangaa unavyosema ilikuwa bora na imeisha nabaki kusema hiiiiiiiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi inaanza nilikua dogo kabisa mara uangalie mara uache. Toka 2013 ndio nikawa mwanafamilia wa Isidingo rasmi.... Watu wanajua kazi zao aisee na waliwekezaDuuh imeisha, kama wewe ulikuwa mdogo na umeanza 2013 wengine tumeanza nayo hiyo miaka mpaka tukaisahau aisee, characters wote wa mwanzo nadhani ni wababa watu wazima na wote story zikaisha wakamalizia wengine, yaani huo ndio utunzi na watu wamefanya investment hasa
Horizon Deep haijawahi kupoa aisee.... Wakina Cherel, Papa G na wengine walivyoondoka wababe wengine walitokea....Meneja wa horizon deep Mr. Derek namfahamu? Miaka hii ilikuwa imeanza kupoa kipindi hicho Ulikuwa noma!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Derek Nyati yupo tamthilia ya Rhythm City sasa hivi
Ila ulivyotaja Egoli umenikumbusha kitambo... Nilikua nishasahau hilo jinaUko sahihi, ilichukua nafasi ya Egoli kama sikosei.
Nimeangalia Episode ya mwisho jana imeisha kwa utata sana. Sikuwahi kufikiria ingeendelea kuwa na mvuto baada ya Barker Haines kufariki kwenye Isidingo lakini Sibeko (Lincoln) aliendelea kusisimua na kuitendea haki nafasi yake kiuigizaji.
Mr. Nyati brother mmoja hivi alikua smart ana rasta alikua anavaa miwaniNyati mtu au?![]()