Hatimaye Isidingo imefika tamati baada ya miaka 21

Yule jamaa alikua wa aina yake, tajiri, mafia, ana huruma, ana utu, katili, anajua mapenzi lakini ilikua inategemea unamkuta kwenye mazingira gani. Alichomfanyia Ambassador ndio nikaona jamaa ni habari nyingine.

Ubabe wake ulikua unachagizwa na Roman...

Hivi yule mwanamke aliyemtwanga risasi Lincoln ni nani?
Yule mwanamke hata sijui katokea wapi? Au ni Mrs Ambassador
 
Papa Zeb na Ma Agness walikufa kwenye ajali ya moto.
Watu wanajua kutunga aisee yaani mtu kipande chake kinapoisha aka kufika mwisho inatengenezwa story ya kumuondoa. Hii iliwahi kutokea mara moja kwenye tamthilia zetu za Tanzania enzi zile ITV kulikuwa na bwana mmoja anaitwa Idd Ligongo alikuwa amepata kazi kutanga taarifa ya habari ikatengenezwa kipande cha anasafiri kwenda nje ya nchi kwa masomo ndo ikawa mwisho wake (sasa hivi nadhani yupo VOA huyu jamaa)
 
Leo kwa Mara ya mwisho nimeangalia last episode ya tamthilia hii kongwe zaidi barani Afrika. Nimeanza kuifuatilia toka nikiwa sina ufahamu wa vitu. Kongole kwa watunzi na timu nzima ya Isidingo ni tamthilia ambayo hata kama hujui ilikuaje nyuma lakini unaelewa sababu kila baada ya episodes kadhaa inakisa kipya chenye kusisimua.

Nimekua nikiangalia kwa kuingia na kutoka ila toka mwaka 2013 mpaka leo inafikia tamati sijawahi kukosa hata episode moja. Kwa waliofuatilia wanaelewa nini namaanisha ilikua ni dk 20 ambazo zenye kusisimua. Timu ya Isidingo walikua updated kila tukio kubwa linalotokea duniani, Africa, au Afrika ya Kusini utakuta walishalitengezea script na kurushwa siku hiyo hiyo.

Goodbye Isidingo
Haiwezi kuisha maana bado kuna issues za Sechaba hajapata umeya, hajamuoa yule binti bikira, mapenzi ya Lungi na Lincoln ndio yanaanza, Nina bado ana Lincoln, Lalage mpaka amkamate mme wake Hendrink na dada yake kuhusu mahusiano yao, Bado kuna utamu haiwezi kuisha
 
Nafikiri tangu mwaka 1996 mi nilikua naiona ITV.
 
Kabla ya Isidingo, kulikuwa na Series nyingine ilikuwa inaitwa Egoli (the place of Gold). Egoli ilivyoisha ndiyo Isidingo ikaanza. Egoli ilirushwa kuanzia 1994 kipindi tu ITV ilivyoanza, nadhani mpaka mwaka 1999. Pia kwenye miaka ya 1998, kuna series nyingine ilikuja kuwa maarufu kuzidi hata Egoli, ni ya kimarekani ilikuwa inaitwa Days of our Lives. Hii bado ipo inaendekea na ilianza tangu miaka ya 1960, japo ITV walishaacha kuionyesha siku nyingi huko nyuma
 
Watu wanajua kutunga aisee yaani mtu kipande chake kinapoisha aka kufika mwisho inatengenezwa story ya kumuondoa. Hii iliwahi kutokea mara moja kwenye tamthilia zetu za Tanzania enzi zile ITV kulikuwa na bwana mmoja anaitwa Idd Ligongo alikuwa amepata kazi kutanga taarifa ya habari ikatengenezwa kipande cha anasafiri kwenda nje ya nchi kwa masomo ndo ikawa mwisho wake (sasa hivi nadhani yupo VOA huyu jamaa)
Ile ndio best soapie in Africa
 
Haiwezi kuisha maana bado kuna issues za Sechaba hajapata umeya, hajamuoa yule binti bikira, mapenzi ya Lungi na Lincoln ndio yanaanza, Nina bado ana Lincoln, Lalage mpaka amkamate mme wake Hendrink na dada yake kuhusu mahusiano yao, Bado kuna utamu haiwezi kuisha
ITV bado inaendekea sababu kuna siku wanakua hawaonyeshi ila kama ulikua ukiifuatilia online tayari ishaisha.
 
Kabla ya Isidingo, kulikuwa na Series nyingine ilikuwa inaitwa Egoli (the place of Gold). Egoli ilivyoisha ndiyo Isidingo ikaanza. Egoli ilirushwa kuanzia 1994 kipindi tu ITV ilivyoanza, nadhani mpaka mwaka 1999. Pia kwenye miaka ya 1998, kuna series nyingine ilikuja kuwa maarufu kuzidi hata Egoli, ni ya kimarekani ilikuwa inaitwa Days of our Lives. Hii bado ipo inaendekea na ilianza tangu miaka ya 1960, japo ITV walishaacha kuionyesha siku nyingi huko nyuma
Egoli nilisikia jina tu nilikua mtoto enzi hizo
 
Nimekumbuka wimbo wa Bongo Dar es salaam wa Prof. Jay aliitaja hii tamthiliya ya Isidingo. "Mambo ya Isidingo watu mkononi wana Nokia ringo. Na hizo Nokia ringo ndio zilikuwa simu matata enzi hizo kabla ya kuja kuzidiwa na Siemens C25 maarufu kwa jina la Twanga pepeta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa masikitiko makubwa nawataarifu kwamba tamthilia ya Isidingo The Need iliyokuwa inaoneshwa ITV (hawa wako nyuma kwa zaidi ya mwaka katika episodes zao) na SABC3 imefikia tamati jana tarehe (12/03/2020). Sababu kubwa ni kwamba haikuweza kuvuta watazamaji wengi kiasi cha kulipia gharama za uendeshaji, yaan ratings zilishuka sana. Tamthilia zinazotamba South Africa ni Uzalo na Generations: The Legacy.

Kuna petition imeanzishwa kwenye page ya SABC ili kuwashinikiza wasisitishe, sijui kama itafanikiwa. Kwa upande wa Isidingo inayoonyeshwa ITV, wanaoangalia hiyo wataendelea kufaidi maana iko nyuma kimatukio (episodes) kwa zaid ya mwaka mmoja.

Kwangu ni pengo kubwa maana ni Tamthilia ambayo familia yangu (Baba, kaka, dada) imekuwa ikiangalia kwa miaka zaidi ya 18. Japo tunaoiangalia tupo wachache, lakin tulikuwa tunaipenda kindakindaki na hatukosi (loyal viewers) Binafsi nilikuwa naiangalia mtandaoni kila siku maana wanaiweka youtube mara baada ya kuionyesha kwenye TV ya SABC3.

Byeebyee Isidingo.
 
1. DERICK NYATI

2. MR. & MRS MATABANE

3. LETTY

4.PAPA DI

.5 PAULSENS

Nadhani wengi wa wanaharakati humu JF walikuwa hawajazaliwa wakati hawa characters wakiwa fire hapa isidingo
 
Back
Top Bottom