Hatimaye Isidingo imefika tamati baada ya miaka 21

Mkuu kuna jamaa mmoja mtata sana legendary Sibiya Sotobe kaja kuvuta mtoto nilidhani kutakuwa na harusi na yule mxhosa, kumbe ndio mwisho mwisho
Leo kwa Mara ya mwisho nimeangalia last episode ya tamthilia hii kongwe zaidi barani Afrika. Nimeanza kuifuatilia toka nikiwa sina ufahamu wa vitu. Kongole kwa watunzi na timu nzima ya Isidingo ni tamthilia ambayo hata kama hujui ilikuaje nyuma lakini unaelewa sababu kila baada ya episodes kadhaa inakisa kipya chenye kusisimua.

Nimekua nikiangalia kwa kuingia na kutoka ila toka mwaka 2013 mpaka leo inafikia tamati sijawahi kukosa hata episode moja. Kwa waliofuatilia wanaelewa nini namaanisha ilikua ni dk 20 ambazo zenye kusisimua. Timu ya Isidingo walikua updated kila tukio kubwa linalotokea duniani, Africa, au Afrika ya Kusini utakuta walishalitengezea script na kurushwa siku hiyo hiyo.

Goodbye Isidingo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sibiya was madly in love, nahisi angesahau familia alijisahau kabisaaa.
Hivi yule rafiki yake Sibiya wa kike bar maid ananyoa Black mzuri mwenyewe ila mbea huyo ana mdomo sijui ni Gatanga alikuwa anampendaga unakumbuka jina?
Circle ya Sibiya na kumbuka makromengtsa
Sotooobe!!! My darling
 
Anaitwa Morongwa (Roro)
 
Leo kwa Mara ya mwisho nimeangalia last episode ya tamthilia hii kongwe zaidi barani Afrika. Nimeanza kuifuatilia toka nikiwa sina ufahamu wa vitu. Kongole kwa watunzi na timu nzima ya Isidingo ni tamthilia ambayo hata kama hujui ilikuaje nyuma lakini unaelewa sababu kila baada ya episodes kadhaa inakisa kipya chenye kusisimua.

Nimekua nikiangalia kwa kuingia na kutoka ila toka mwaka 2013 mpaka leo inafikia tamati sijawahi kukosa hata episode moja. Kwa waliofuatilia wanaelewa nini namaanisha ilikua ni dk 20 ambazo zenye kusisimua. Timu ya Isidingo walikua updated kila tukio kubwa linalotokea duniani, Africa, au Afrika ya Kusini utakuta walishalitengezea script na kurushwa siku hiyo hiyo.

Goodbye Isidingo
Daaah kwly nothing last forever

Isidingo tangu 1995! Uwanja wa uhuru Bukoba, mzee mengi alituwekea bonge la screen kama inch 60!
Tumetoka mbali,
Persons, Nandipa, Mr /Mrs matabani,Derick Nyati, Mafia Burker Hayes, kabla mbabe mswahili hajatokea, Mr Sibeko,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nandifa,Derick Nyati,Sauda Simba Kilumanga,,Aisee kitambo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika miaka ya 2003- 2006 ksma sikosei Kuna character alikuwa anatumia jina LA LETHI MATHABANE alifariki kwa HIV lakini mwingine alikuwa akiemda kwa jina LA Nandipha alikuwa akicheza kama muathirika NA,mupnekano wake NA namna alivyokuwa akiigiza unaweza amini lkn kumbe haikuwa hivyo bali Mathabane ndiye alikuwa ameathitika kiukweli ukweli.
Ni tamthilia nzr.
 
Back
Top Bottom