Hatimaye ICC kutua nchini - MwanaHALISI

Kimenukaa
 
ICC wanakuja kwenye masuala mengine sio vifo vya vijana tarehe 29 October.
 
Wenzako wanasema ni uzushi, wewe unakiri kuwa wapo "lakini kwa masuala mengine🤔🤔!!"

Masuala mengine yapi hayo??
Yeye mwenyewe alianza kwa kukanusha, na hata kutaka wasiruhusiwe kuingia nchini; sasa ameona hali kuwa ngumu, anageuka na kusema wanakuja kwa kazi nyingine. Kazi gani tena hiyo!
 
Hili ni povu la njaa
Kamenye viazi angalau utapata shani ya chips
 
Mfano mzuri wa jalala ni kama ulivyo wewe. Huna jambo lolote la maana tena unalochangia kwenye kurasa hizi za JF.
Nenda kasome threads zangu ninazoanzisha, kisha angalia nina attract contributors wangapi!! Kisha linganisha na za kwako. Sanasana wewe kazi yako kutukana tu
 
Nenda kasome threads zangu ninazoanzisha, kisha angalia nina attract contributors wangapi!! Kisha linganisha na za kwako. Sanasana wewe kazi yako kutukana tu
Hizo takataka unazoweka humu nazo unaziita mada za maana? Umeangalia watu wanaofuatilia hizo takataka ni watu wa aina gani?

Unaweka mada ya kujipongeza kwa kuua waTanzania' halafu unajitokeza hapa na kutaka watu wakupongeze kwenye uchafu kama huo?
Hivi bado unazoakili timamu kweli?
 
Invariably you are one of my followers, you have never missed to comment over any post that I write.
 
tuliza mihemko nonsense mamluki lofa wa kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi
 
Invariably you are one of my followers, you have never missed to comment over any post that I write.
Why "invariably." Do you even know what you're attempting to explain?

In case you do not remember, I made a promise a long time ago to you, never to let you crap go un-responded to
This goes to show how dump headed you must be if you cannot remember that simple promise.
 
Oh, spare me your ancient toddler tantrum “promise,” you pathetic little keyboard warrior. I remember it perfectly, mainly because it’s the saddest, most desperate vow I’ve ever heard.
Still waiting for the day your spine grows bigger than your ego. Pathetic
 
Glad that you remember what was promised.
When a promise is made, a promise is kept, always remember that.!

Do I have to remind you something else; that you're simply a hog at the service of Samia Suluhu Hassan who is awaiting her fate as we write!
 
Wajiangalie, mafwele anaweza kupita nao.
 
Glad that you remember what was promised.
When a promise is made, a promise is kept, always remember that.!

Do I have to remind you something else; that you're simply a hog at the service of Samia Suluhu Hassan who is awaiting her fate as we write!
I don't care whta you believe. Samia remains President of Tanzania up to 2030
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…