HATIMAYE HESLB YATEMA MAJINA KWA 1YR WALIOKOSA MKOPO....udsm wapo 154 waliopata..

Sasa muanze kuongeza umaarufu kwenye night club!!!

tena wajao huku bongo...!

muwe macho! wengine pesa za miezi miwili huwa zinaisha ndani ya mwezi mmoja!!

eti huku wakijidanganya wapate kick ya kusoma!!!

baada ya hapo sasa!!

utasikia 001 , 010, 100 wengine mpaka kufa kwa njaa!!!
 
nina furaha kubwa kuwa heslb watema majina ya waliokosa mkopo pamoja na sababu zao..nenda loan results utaona.Nashukuru mungu dogo kapata.kila la kheri wana ndugu
Mamamako unastahili kupigwa Ban!! majina ya mwaka 2011 ndo unapost hapa? Nyambfff!!
 
Msiwe na wac nyie wenye div 3...najua mnawenge sana, mtapata mkopo!lkn kama mlichagua education
 
Zero minded ppl like u shouldnt b left alive, had it bn legal to kill. U aint b serious.
 
acha ujinga kijana unadhihirisha kuwa kuna matatizo katika elimu yako....kuwa na akili some time sio unapost tu kisa umejisikia kupost....
 
Back
Top Bottom