konde music worldwide fan
Member
- Feb 4, 2021
- 45
- 38
Pen inagoma mkuuHuu mwandiko wa harmonize ni mbaya sana ...
Huko shuleni hakusoma somo la mwandiko ..?
Pen inagoma mkuuHuu mwandiko wa harmonize ni mbaya sana ...
Huko shuleni hakusoma somo la mwandiko ..?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yaani mi mtu akiandika kwa herufi kubwa, naonaga kama wale matapeli wa ile hela tuma kwenye namba hii jina litakuja Paula Kajala au wale wa Karibu jiunge na 666 Friimasoni.
njoo nikuungishe freemasoniYaani mi mtu akiandika kwa herufi kubwa, naonaga kama wale matapeli wa ile hela tuma kwenye namba hii jina litakuja Paula Kajala au wale wa Karibu jiunge na 666 Friimasoni.